Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Wale wale tu,kujikweza jf kumbe baamedSema nimezaliwa kolomije mimi sio wa 98 dogo. Huo mwaka niko drs la 7
Wale wale tu,kujikweza jf kumbe baamedSema nimezaliwa kolomije mimi sio wa 98 dogo. Huo mwaka niko drs la 7
Unajielewa kweli au unakirupuka?? Sasa nilichoandika na ubarmaid unakujaje? Nimeandika CV ya kazi hapo kwani. Aisee usinichimbe tukachimbanaWale wale tu,kujikweza jf kumbe baamed
Unafunga baa saa ngapi hapo waswanu[emoji1787][emoji1787]Unajielewa kweli au unakirupuka?? Sasa nilichoandika na ubarmaid unakujaje? Nimeandika CV ya kazi hapo kwani. Aisee usinichimbe tukachimbana
Unatafuta umaarufu JF sina huo mudaUnafunga baa saa ngapi hapo waswanu[emoji1787][emoji1787]
Daah!Ndie aliyekuwa anataka kum poison mzee kitambo kile hadi mzee akaokolewa na House Girl
AaaMengi alimnyanyapaa acha apumzike, Mungu akupi vyote mengi ana pesa lakini hana hekima. Hatofautiani na Bwana jiwe.
Marehemu ndiye mke wa Mengi, hiyo mwingine ni Jambazi tuJackie mtunze mzee atakuwa anapitia kipindi kigumu sana.
kwamba kafata pesa hahahahahahahaahMarehemu ndiye mke wa Mengi, hiyo mwingine ni Jambazi tu
Baelezee mana wanaropoka balaa,wakati wife anamiliki share ippYani mtu akuwekee sumu af uwe na hekima nae?? Peleka kule...na kwa taarifa yako mengi alimpa share ipp...we huoni anavong'aa hapo....??
Wewe umejuaje hawakukemea! Au mpaka wawaite waandishi wa Tanzania Daima ndio wamekemea?!Aisee !! kwahiyo mzee alinyakua nyumba ndogo huku nyumba kubwa ikiwa hai !
Cha kushangaza hakuna hata kiongozi wa dini aliyekemea , Hakika pesa ni sabuni ya roho !
Kwi! Kwi! Kwi!Marehemu ndiye mke wa Mengi, hiyo mwingine ni Jambazi tu
Hakika pesa ni sabuni ya roho
kwa ninAmefariki na majonzi makubwa!
Alimtaja sana , soma vizuriMama Mengi hakutajwa katika kitabu cha Mr Reginald cha I can. i shall & I will.
Kwa nini walitengana?