TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Mengi alimnyanyapaa acha apumzike, Mungu akupi vyote mengi ana pesa lakini hana hekima. Hatofautiani na Bwana jiwe.

Yeye aliyetaka kuyakatisha maisha ya mumewe kwa kumlisha sumu hana makosa kosa mnaliona kwa aliyemuuguza muuaji.
 
Mkuu huwezi jua pengine mama alikuwa anamuona mzee hamjali tena, na akikumbuka waliko toka lazima kichwa kimvuruge. Wakati mwingine sisi wanaume ni shida sana.
kwa hiyo suluhu ilikuwa kumuua au,je leo hii ukigundua wewe mkeo anataka kukuua utakaa naye bado,
 
Huyu Mzee alikuwa na mke mzuri tu tena wa ujana wake akamtosa na kumwoa kahaba,hapo ndo nilimdharau sana huyu mzee
alitaka kumuua kwa sumu ndo mzee akaona na isiwe shida mtu kama huyo unakaa naye ndani kama nani,tafuta chanzo usikurupuke utake kunitoa uhai nikuchekee tu kisa ndoa au?
 
alitaka kumuua kwa sumu ndo mzee akaona na isiwe shida mtu kama huyo unakaa naye ndani kama nani,tafuta chanzo usikurupuke utake kunitoa uhai nikuchekee tu kisa ndoa au?
DUh inawezekana aliendelea kumpa malezi 100℅
 
Sijui una maana gani ulipotoa hii comment hapa lakini mimi nataka kusema hayo ''maradhi ya kisasa'' siku hizi siyo lazima uwe tajiri ili uishi. Kuna wengi nawafahamu (siyo matajiri) wanatumia dawa tangu miaka ya 2003-2005 na mpaka sasa wanaishi maisha ya kawaida kabisa. Ni kufuata masharti tu.
Kuna watu tangu 1993 mpaka Leo,nyie mnazungumzia 2003?
 
Lazima afe huyu mama ameteseka kweli. Mwanaume siyo ndugu yako.
 
Back
Top Bottom