TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

May your Soul Rest in Peace... Amen
 
Diamond jiandae na wewe. Labda uachane na Zari. Chukua hatua.
 
Hivi yule ana machungu kweli ? Si Kwa show off zile huku mama yake yupo ICU.
Matatizo ya kudate kitoy boy, hataki kuonesha public kuwa issue ya Daily na Hamisa inamnyima usingizi.
 
Inaelekea maza in law alimzikia Ivan kuliko jirani yangu wa zamani wa Kwamtogole.
 
Ikiwa bado siku mbili kuelekea Show ya kukata na shoka pale Leaders (Castle Lite Unlocks)
castle1.png


Diamond Platnumz anapata pigo la Mzazi wezake Zarina, kufiwa na Mama yake.
Daah ukisikia Majanga ndo kama hivi.
PUMZIKA KWA AMANI (MAMA ZARI)
R.I.P
 
mimba haina shida ni mwanaume.ila mama mkwe yupo icu unafanya maparty hata kwenda kumuona huendi.madale wana roho ya ajabu kwa kweli

Hapo jamani diamond hata simlaumu mwenye mama juzi kaposti picha anakata viuno na kupata kinywaji wakati mama yake anapulia mshine kweli akii ni nywele du nadhani kichwani zari sio mzima
 
Back
Top Bottom