TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

Waafrika hatuachi asili yetu. Ngoja siku ufiwe na ndugu mfululizo hlf utuhumiwe umewatoa kafara ndo utaijua vizuri hii dunia.
Nani kakwambia mm ni mwafrica?
 
Pumzika kwa amani Bibi Tee.Zari Mungu azidi kukupa faraja kwenye wakati hii mgumu.
 
Wabongo na mawazo yetu ya kimasikini, ya kulinganisha maendeleo ya mtu na uchawi, sijui tutabadilika lini rip mama zari
 

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi pole sana zari Shemeji wa taifa letu.
 
Kila Nafsi itainja Umauti....
R.I.P
 
Ahahaaaah...
Bongo bhana..!
 
Apumzike kwa amani. (mutanisamehe kwa kuweka ya kiswahili)
 
Nataka nione atakavyokuwa ,akijipodoa na hapa na kutegea camera zimchukue vizuri basi kweli huyu ni strong woman
 
Suala la kifo ni la kila mtu naomba Allah amuepushie adhabu ya kaburi inshaallah ingawa na cc watanzania wanafki sana aseee eti tutakukumbuka sana ss mm yke Zari akumbukwe kwa lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…