TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

Maskini tu kuna video zari anakatika eti anaondoa stress kumbe mama alikuwa mgonjwa??
Rip
 
Mnamwonea zari huruma?
Zari alipost snap akiwa hospital kwamba "ni vigumu kupata usingizi ukijua kwamba muda wowote mashine itazima" maana yake mama yake alikuwa kwenye life support na walishaambiwa kwamba hawezi kupona...
Sasa kama ni kama vile tayari msiba ulishamfika lakini akapata nguvu kukata mauno na kurecodi na kupost inawezekanaje kwamba ameumia kifo cha mama yake??
Labla tunatofautiana mila na Waganda.
Ila Mimi siwezi kumpa pole hata kidogo ila nasema MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE MAMA ..
 
Sawa Hamisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kusahau uwepo wake wewe hutaweza Tunakutakia wepesi Katika hili

KANISA LA KRISTO
 
Diamond akizungumza na baba yake zari msibani
 
Kweli bongo nyoso..full Wajuaji, wahenga, wachawiiii... Daah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…