stargirl
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 462
- 540
Utamkumbukia nini?R.I.P Mama Zari
Tutakukumbuka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamkumbukia nini?R.I.P Mama Zari
Tutakukumbuka sana
Ni kama mama angu anavyompenda ex wangu.... pale humwambii kitu.Inaelekea maza in law alimzikia Ivan kuliko jirani yangu wa zamani wa Kwamtogole.
Ninasikia Ivan alimjengea nyumba mama ZariNi kama mama angu anavyompenda ex wangu.... pale humwambii kitu.
Rest in peace Mama Zari.
Sawa HamisaMnamwonea zari huruma?
Zari alipost snap akiwa hospital kwamba "ni vigumu kupata usingizi ukijua kwamba muda wowote mashine itazima" maana yake mama yake alikuwa kwenye life support na walishaambiwa kwamba hawezi kupona...
Sasa kama ni kama vile tayari msiba ulishamfika lakini akapata nguvu kukata mauno na kurecodi na kupost inawezekanaje kwamba ameumia kifo cha mama yake??
Labla tunatofautiana mila na Waganda.
Ila Mimi siwezi kumpa pole hata kidogo ila nasema MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE MAMA ..
Kweli bongo nyoso..full Wajuaji, wahenga, wachawiiii... Daah..Mnamwonea zari huruma?
Zari alipost snap akiwa hospital kwamba "ni vigumu kupata usingizi ukijua kwamba muda wowote mashine itazima" maana yake mama yake alikuwa kwenye life support na walishaambiwa kwamba hawezi kupona...
Sasa kama ni kama vile tayari msiba ulishamfika lakini akapata nguvu kukata mauno na kurecodi na kupost inawezekanaje kwamba ameumia kifo cha mama yake??
Labla tunatofautiana mila na Waganda.
Ila Mimi siwezi kumpa pole hata kidogo ila nasema MUNGU AMPE PUMZIKO LA MILELE MAMA ..
duuuh!!utasema zari hajafiwa na mzazi wake!!
mengi tu alimfanyia hata baada ya kuachana na bossladyNinasikia Ivan alimjengea nyumba mama Zari
Ninasikia hata akirudi likizo lazima ilikuwa akamuonemengi tu alimfanyia hata baada ya kuachana na bosslady
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Hapa ni msibani?
Muda mwingine huwa nawaza sana kama kuna baadhi ya binadamu unaweza kujiita ni mtuRIP+
Naona alikuwa bado anajichubua. Masikini apumzike kwa amani