Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
sijui mond atatoaje pole huko .maana mgonjwa kakaa icu mwezi hata kwenda kumuona hajaenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo nalo neno, na huku ana msala wa kumpa hamissa mimba sijui watamuangaliajesijui mond atatoaje pole huko .maana mgonjwa kakaa icu mwezi hata kwenda kumuona hajaenda
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Duuh! Mungu ampe moyo wa subira aisei..!
Who is next..! Labda mond [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai Jaba......hahahaInnalillah wainaa ilayh rajiuun!
Poleni Wakwe zetu wa Uganda!
Pole sana Chai Jaba a.k. a Domo Ungo kupoteza Mzaa Chema!
mimba haina shida ni mwanaume.ila mama mkwe yupo icu unafanya maparty hata kwenda kumuona huendi.madale wana roho ya ajabu kwa kweliIlo nalo neno, na huku ana msala wa kumpa hamissa mimba sijui watamuangaliaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mkwe WA nani!!!mimba haina shida ni mwanaume.ila mama mkwe yupo icu unafanya maparty hata kwenda kumuona huendi.madale wana roho ya ajabu kwa kweli
Halafu keshokutwa ana Show na futureIlo nalo neno, na huku ana msala wa kumpa hamissa mimba sijui watamuangaliaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure.. yan hapo ni kwamba tu demu wake kafiwa na mama.. hamna mama mkwe hapo
100% correctSure.. yan hapo ni kwamba tu demu wake kafiwa na mama.. hamna mama mkwe hapo
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Hapa ndio kuna Mtihani kwa Diamond. Huwezi hailisha maana ushavuta advance ya million 30. Kuirudisha inakuwa mbinde.
Mtihani upi,huwaga mnasemaga jamaa yupo na hiyo Demu kibiashara,kesho ni Business as Usual..!!
Kwa kutokujibizana na teams online
Kwani hukuona Zari alirusha snapchat yupo ICU anacheza mziki anakatika so hata mond hana kosa kufanya partymimba haina shida ni mwanaume.ila mama mkwe yupo icu unafanya maparty hata kwenda kumuona huendi.madale wana roho ya ajabu kwa kweli
Dah!! Kazi kweli kweli!!Kwa kutokujibizana na teams online
love thé love or hâte thé love.....