Tanzia: Mama wa Tupac (Afeni Shakur) afariki dunia

Wamama wapiganaji kama huyu mama wakifa nasikitika sana.

Mama pumzika kwa amani.
 
Apumzike kwa amani ,Ama kweli kizazi chake kilitoa mwanaume
hakika apumzike kwa amani mama. 2pac was strong man namkubali san huyu kijana na ideas zake.
ule wimbo wa dear mama napendea
there is no way i can pay you back but. my plan is to make you undestand, appreciated.
 
".... He passed away and I didn't cry cause my anger wouldn't let me feel for a stranger"...
Haka kasehemu ka wimbo nako huwa kananikosha
Swadakta maneno yako jamaa alikuwa akitulia anatoa kitu ila wakiisha mchanganya mambo west side na east side hapo ilikuwa balaa f..f..f... zinakuwa nyingiii
 
Swadakta maneno yako jamaa alikuwa akitulia anatoa kitu ila wakiisha mchanganya mambo west side na east side hapo ilikuwa balaa f..f..f... zinakuwa nyingiii
Aisee umenikumbusha, hizo f...f...f... zilikuwa ni noma; kuna ule wimbo ambao hizo f's ndio zilikuwa kama kibwagizo😉
 
"Cause when i was low you were there for me AND you never left me alone cause your cared for me." RIP
 
I hung around with the Thugs, and even though they sold drugs
They showed a young brother love - 2pac
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…