TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

Ni katika Hospitali ya Peramiho, Songea alikokuwa amelazwa kwa Matibabu
 
Dah ile nyumba kubwa imeanguka? Apumzishwe kwa amani
RIP
 
Daaaah!
Pole sana kwa familia yake!
Naye, akapumzike alipojichagulia!
 
Pole kwa ndugu, jamaa na watu wote wa karibu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…