TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

Kama ni Mbatizwa Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi.
 
Simsemi vibaya ila kwa unene huu kifo hakijanistua kwakweli..!
 
Semeni yote mtakayosema lakini mutambuwe kuwa kifo cha mmoja wetu ni somo/waadhi kwa tuliyobakia.Maneno kama vile RIP..../alikuwa.....,alikuwa........... nk,hayana msaada tena kwake.Yatakayo msaidia ni yale mema aliyeyatenda alipokuwa hai.
KUMCHA/KUMUABUDU MWENYEZIMUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA.
 
Back
Top Bottom