mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Mhhhh kwa hizo picha! No more questions.....R.I.P
Daaah! Huyu si ni yule mchezaji aliyetoka timu ya simba ya under 20 then akapanda timu ya wakubwa?
Hapana,Christopher Alex alicheza kwenye ile Simba iliyoitoa Zamalek na yeye ndo aliyepiga penati ya mwisho ya ushindi,usimchanganye na Christopher Edward
Rest In Eternal Peace Brother,uluchangia sana nguvu zako katika kuitumika timu ya Simba lakini wao walikutupa katika mateso ya dunia,mungu wetu ni mwenye huruma na rehema hakika atakupumzisha unapostahili.Amen