Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kwa kujitakia kama unapenda sana milupo bila kinga,lazima TB uipate
Ngoma ikivuma sana mwishowe upasuka.
RIP massawe,TB inamaliza watu kwa kweli,tubadilike tabia
Tutumie maski kujikinga,la sivyo tutakwishaTubadilike kwenye kupumua au vipi dada Vicky?
RIP C.A.M
Ndio kwa kujitakia kama unapenda sana milupo bila kinga,lazima TB uipate
Ameugua bila msaada. Baada ya kufariki ndio tutaanza kuwaona viongozi wetu wakiwa kimbelembele kwenye mazishi na kumwaga sifa nyingi za kinafiki. ndio Tz yetu!
Labda km hii shughuli mlisha staafu, lkn km bado na vitendeakazi vyenu mnavitumia kwa shughuli hihii, naomba msitukane mamba wkt bado hujavuka mto.
Angalieni tangazo la kibonde la Baba Rafael na lile la yule mama aliusevu mchepuko wake km Mwenyekiti.
Sisi ni watu wazima we hv to think twice co kuropoka, hz co siasa wala burudani, tujue kuwa wenza wetu nao ni binadamu km hao wengine walio athirika, wakitongoza au kutongozwa huko, hatui akiri au midomoni mwao kuwakataza, bado wanaamua wenyewe hata km wapo kwenye ndoa. Wale ambao bado ni vijana, hadi mfike miaka 30 ya ndoa mwenzi wako hajawahi chepuka ni jambo la kumshukuru Mungu sana. Cc tunaona sn humo makazini.
Asanteni
Simba watapoteza mechi mfululizo sababu ya kumtenga jamaa.......