TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe afariki dunia

TANZIA: Mchezaji wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe afariki dunia

Mmhh naile miichango endelevu ndugu awajammalizia kwelii mmh
Rip CA
 
Huenda ndio sababu Simba imepoteza game na Stand utd. kumbe wapo msibani!
RIP Ras.
 
Ndio kwa kujitakia kama unapenda sana milupo bila kinga,lazima TB uipate

Labda km hii shughuli mlisha staafu, lkn km bado na vitendeakazi vyenu mnavitumia kwa shughuli hihii, naomba msitukane mamba wkt bado hujavuka mto.

Angalieni tangazo la kibonde la Baba Rafael na lile la yule mama aliusevu mchepuko wake km Mwenyekiti.

Sisi ni watu wazima we hv to think twice co kuropoka, hz co siasa wala burudani, tujue kuwa wenza wetu nao ni binadamu km hao wengine walio athirika, wakitongoza au kutongozwa huko, hatui akiri au midomoni mwao kuwakataza, bado wanaamua wenyewe hata km wapo kwenye ndoa. Wale ambao bado ni vijana, hadi mfike miaka 30 ya ndoa mwenzi wako hajawahi chepuka ni jambo la kumshukuru Mungu sana. Cc tunaona sn humo makazini.

Asanteni
 
Masikini dah, TB ina matibabu yake sasa imekuwaje jamani tena imsumbue kwa muda mrefu? Basi, Mungu akurehemu ndg ni njia yetu sote.
 
He was a super talent, unfortunately alipoteza dira but his soccer skills hazikua na mjadala
 
Shangaa Michango itakayotoIewa now msibani, wakati bora ingetoIewa wakati anaumwa anunue dawa!! !
 
Christopher Alex Massawe kizazi chako hakitasahaulika Msimbazi, wapiganaji kama wewe mmeondoka sasa hivi wamebakia wasanii wa Bongo Flavour....
 
Christopher Alex Massawe kizazi chako hakitasahaulika Msimbazi, wapiganaji kama wewe mmeondoka sasa wamebakia wasanii wa Bongo Flavour tu pesa mbele muziki hauonekani.
 
Ndio kwa kujitakia kama unapenda sana milupo bila kinga,lazima TB uipate

Huhitaji kupenda sana milupo bila kinga kupata hiyo 'TB' ambayo wewe unailekezea kwingine. One mistake can mean one goal au hata being at the wrong place at the wrong time. Don't assume, don't generalize and don't judge.

RIP Masawe
 
Apumzike kwa amani

Na wafiwa tuwaombee ustahimilivu

Mwanga wa milele umwangazie...
 
Labda km hii shughuli mlisha staafu, lkn km bado na vitendeakazi vyenu mnavitumia kwa shughuli hihii, naomba msitukane mamba wkt bado hujavuka mto.

Angalieni tangazo la kibonde la Baba Rafael na lile la yule mama aliusevu mchepuko wake km Mwenyekiti.

Sisi ni watu wazima we hv to think twice co kuropoka, hz co siasa wala burudani, tujue kuwa wenza wetu nao ni binadamu km hao wengine walio athirika, wakitongoza au kutongozwa huko, hatui akiri au midomoni mwao kuwakataza, bado wanaamua wenyewe hata km wapo kwenye ndoa. Wale ambao bado ni vijana, hadi mfike miaka 30 ya ndoa mwenzi wako hajawahi chepuka ni jambo la kumshukuru Mungu sana. Cc tunaona sn humo makazini.

Asanteni

Mkuu umeandika kiutu uzima hasa. Sisi sote ni wadhambi na tunajikwaa katika mambo mengi, tunahitaji neema na rehema za Bwana. Huu siyo wakati wa kumnyooshea kidole marehemu, tutafakari njia zetu huku tukimlilia Mungu atuwezeshe kulala katika tumaini; Biblia inasema 'heri ya wafu wafao katika Bwana ...'.

Tukumbuke kuwa wafiwa wanayo majonzi makubwa ya kuachwa na mpendwa wao, wanahitaji kupewa maneno ya faraja siyo kejeli kuhusu maisha ya marehemu.

CAM amelala mauti hadi parapanda ya mwisho itakapolia ambapo waliokufa katika Bwana watafufuliwa kwanza kisha walio hai kufumba na kufumbua watabadilishwa nao watamlaki Bwana mawinguni. Basi farijianeni kwa maneno hayo.

Poleni sana wafiwa Mungu awapatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, amina.
 
Back
Top Bottom