TANZIA: Mchezesha Muziki maarufu nchini DJ Rico, amefariki Dunia

Unawafahamu kwelikweli maDJs. Hivi DJ Lover yupo wapi?
RIP Rico!!!
 
Mambo ya chini ya kapeti , ni kwamba matumizi ya powder kupita kiasi ndio chanzo cha kumpeleka jamaa kwenye permanent abode .
Ni tetesi tu sijazikomfirm.
RIP dj Rico ,
nakumbuka alikuwa anaturusha sana billz enzi hizo
 
alikuwa mzuri katika kazi yake(radio dj and club dj)
aliturusha sana
mods punguzeni picha za leprofeseri mkumbo kwenye kurasa zenu...
tabasamu lake linakera sababu kama feki flani
 
Mambo ya chini ya kapeti , ni kwamba matumizi ya powder kupita kiasi ndio chanzo cha kumpeleka jamaa kwenye permanent abode .
Ni tetesi tu sijazikomfirm.
RIP dj Rico ,
nakumbuka alikuwa anaturusha sana billz enzi hizo
Acha uzushi wewe jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…