Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Duuuh,.kweli dunia si ya kujivunia hii.
RIP DJ.
RIP DJ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I remember to have seen the face at 777Aisee!! So soon. Whatever happened? Mara ya mwisho nilikutana naye Triple 7 mwanzoni mwa mwaka. RIP bro.
Kabisa. Nashangaa mtu anauliza amefia nini kama yeye ataishi milele. Maisha yetu yako mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Sio kwa umahiri wetu tutaongeza hata sekundeTulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi,R.I.P the Legend
Mkuu mara ya mwisho Ricco kupiga Tripple 7 lini?Too Sad ....mimi nimemfahamu 90s enzi za Bills akiwa sehemu ya kundi la madj waliojiita The Powerful 4 (nguvu 4) waliotikisa nchi kisawasawa akiwa na DJ JD, DJ HABIB na DJ G Lover ....alikuwa anajua kupiga aina nyingi za muziki kama House, R&B , Hiphop,oldies na hata Bolingo ....ni moja ya djs wanaojua kutumia mic na kuongea kiingereza fasaha ....amefanya kazi East Africa Radio kwa muda mrefu kabla hajaamua kudeal na issues zingine ....nilikuwa nakutana nae mara nyingi Triple 7 alipokuwa anapiga .....pumzika kwa amani brother ....
Yes ...maana around 2000 -2001 Powerful 4 walihama Bills kwenda Mambo Club (maisha club zamani) ....nyomi la Bills likahamia Mambo club ....Nilimfahamu those days way back 2002-2003... Akipiga studi bekaz namanga msasani wakitokea ea radio yeye, Dj bush baby,marehemu Dj faridah
Sikumbuki mkuu ....ila mara nyingi nikipita pale utamkuta kaunta ...Mkuu mara ya mwisho Ricco kupiga Tripple 7 lini?
Ok kumbe kaunta.Sikumbuki mkuu ....ila mara nyingi nikipita pale utamkuta kaunta ...
Kumbe kuna wazee wa viwanja humu!Nilimfahamu those days way back 2002-2003... Akipiga studi bekaz namanga msasani wakitokea ea radio yeye, Dj bush baby,marehemu Dj faridah
Ahadi yake ilifika.Chanzo cha kifo?
Sikumbuki mkuu ....ila mara nyingi nikipita pale utamkuta kaunta ...
Ok kumbe kaunta.
Nilifikiri naye alikuwa anashiriki kurusha Watu.
Ila Dj wa Tripple 7 anaweza sana
Kivipi?Ahadi yake ilifika.