Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

americana

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
84
Reaction score
37
Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one.

Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.

==========

View attachment 244096
Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Seky) enzi za uhai wake, (RIP)..


===========

Wakati huohuo, mfalme wa mitandao yote ya jamii, W. Malecela a.k.a Le Mutuz (54), ametoa le tamkozi kuhusu kifo cha mfanyabiashara kama ifuatavyo;


Pia tujikumbushe mahusiano ya Lulu na Seky yalipoanza, habari juu ya mahusiano yao iliwekwa JF Tarehe 1/4/2014.

Lulu 'Elizabeth Michael', aingia kwenye bifu zito na Miss Tanzania 2012, baada ya kumpora bwana wake
 
Stuli ya kioo? Wap? Nyumbani au?

Alikuwa kwenye hali gan hadi hiyo stuli ivunjike na kumchana hadi umauti?

Kuna taratibu za kulipana insuarence kweli in case mtu amecollapse kwenye hivi vitu virefu? Na haya ma-tiles yanayoteleza kwenye hizi malls ukiteleza ukavunjika kuna ka utaratibu ka kulipwa kweli?

Hatari sana!

Sent from JamiiForums
 
Maskini Lulu sijui kweli halafu leo siku yake ya kuzaliwa
 
Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one. Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.

asante kwa taarifa ya msiba lkn nasikitika kwamba ( title ) ya habari hii imekaa kinafki kwani ingetosha tu kutuambia tukio la umauti wake, jina lake, labda na wasifu wake au kazi yake, lkn c kutuambai aliyekuwa mpenzi au hawara wa ----- tena kwenye title ya taarifa.
huko ni kumdhalilisha marehemu
 
kila mwenza wa lulu anafariki "ghafla" tena kwa kuanguka
 
Hapo lazima ujiulize mara mbili, halafu wote vifo vya ghafla. Seki alikua anafanya Tanzanite one, ana mke na watoto hatareeee
sasa, kama ana mke na watoto, itakuwaje kwenye mirathi ya icho kijacho? hivi wanawake kwanini huwa mnavamia waume za watu?ona sasa.
 
Jamani msimseme vibaya marehemu. Huyo alikuwa mume wa mtu na mkewe ni mwandishi mwajiriwa wa Wizara ya Habari na Utamaduni. Tuchunge ndimi zetu, wafiwa wasingependa kusikia aibu za ndugu yao katika wakati huu wa majonzi.
 
Jamani msimseme vibaya marehemu. Huyo alikuwa mume wa mtu na mkewe ni mwandishi mwajiriwa wa Wizara ya Habari na Utamaduni. Tuchunge ndimi zetu, wafiwa wasingependa kusikia aibu za ndugu yao katika wakati huu wa majonzi.

Ndugu yangu naona unajaribu kuzuia mafuriko kwa mkono... sa hivi hiyo ndio imebaki habari ya midomoni kwa watu...

Mke atalia na mengi kwa wakati huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…