Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one.
Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.
==========
View attachment 244096
Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Seky) enzi za uhai wake, (RIP)..
===========
Wakati huohuo, mfalme wa mitandao yote ya jamii, W. Malecela a.k.a Le Mutuz (54), ametoa le tamkozi kuhusu kifo cha mfanyabiashara kama ifuatavyo;
Pia tujikumbushe mahusiano ya Lulu na Seky yalipoanza, habari juu ya mahusiano yao iliwekwa JF Tarehe 1/4/2014.
Lulu 'Elizabeth Michael', aingia kwenye bifu zito na Miss Tanzania 2012, baada ya kumpora bwana wake
Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.
==========
View attachment 244096
Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Seky) enzi za uhai wake, (RIP)..
Familia ya marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Seky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake.
Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali.
Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa mdau mkubwa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, hivyo msiba wake umegusa tasnia hiyo.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Secky mahali pema peponi. AMEN.
Chanzo: GPL
===========
Wakati huohuo, mfalme wa mitandao yote ya jamii, W. Malecela a.k.a Le Mutuz (54), ametoa le tamkozi kuhusu kifo cha mfanyabiashara kama ifuatavyo;
" Live at my Office downtown Dar Tancot House 2nd FL kazi kama kawa maana Mwanaume ni kazi kwanza ninasikitika sana kutangaza kifo cha gafla cha rafiki yangu wa karibu sana Super Bilionea Seky.
I am speechless Wiki mbili nzima zilizopita mara kwa mara tumekutana Mliman City na Tripple 7 Club mara ya mwisho tulikuwa wote Jumamosi iliyopita mke wake alikuwa anaumwa sana tukaenda wote Baraka Plaza tuka kaa masaa mengi kumsubiria mke wake na leo asubuhi saa tatu.
Tumeongea sana kwenye simu kuhusu viwanjani leo akaniahidi kunipigia back in One Hour twende wapi leo 1 hour ago nimepigiwa Simu kuwa amefariki ghafla Ohh my God bado I am speechless.
Ninamuombea sana mke wake na watoto katika hiki kipindi kigumu sana kwao this one really hurts Binadam tunapita tu hapa Duniani we are just weak creatures of God.
I cry for U Seky a great human being Mungu amuweke mahali pema peponi, please people lets pray for my friand Aimeen le Mutuz"