Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Jamani hivi mazishi yake yalikuwa lini na wapi??? Kuna picha??

Mwenyewe najiuliza kila siku
Kumekua na usiri sana..sio kawaida....ht hao bongo movie walokua wanashadadia kumjua hatujaona wakipost anything

Picha za msiba zimo humu ni kurudi kwenye posts zilizopita. Pia marafiki/jamaa/ndugu zake walikuwa humu wanatupa update vizuri tu. Msiba ulikuwa nyumbani kwake na mkewe. Lulu hakwenda msiani as alikuwa anaiba mume wa mtu. walimsafirisha na kumzika mkoani sio Dar.
 
Nimekupata vizuri mkuu kwa ushauri wako!

Hivi pamoja na kua maarufu kivile huyu rafiki yangu wakati tukiwa tunapishana kwenye makorido pale UDSM kwenda kusoma wakati mwingine pamoja kwenye baadhi ya course najiuliza alikua vizuri na ndugu zake?

Hawa wanaojiita bongo movie kua alikua anafanya nao kazi pengine labda kuwadhamini wameshindwa kueleza vizuri kabisa juu ya incident hii, jinsi madaktari walivyojaribu kuokoa maisha yake, wapi walifeli na hatimaye kifo kimkute huyu ndugu?

Kuchomwa kipande cha chupa pajani mara kwenye ubavu how? Jamani nani asiyevijua hivyo vi stool how sielewi inashangaza na inauma sana!!

Nani alikuwepo hapo nyumbani kwenye tukio? Tunajua kua ugomvi katka familia hua upo tu/once upon a time. Je tunajua kua kuna mazingira ya wahusika/wanandoa kugombana na mjeruhiwa kuamua kuficha ukweli kwa ajili ya kunusuru mwenzie katika mikono ya polisi?

Inaniuma niko inchini Ghana-Western Regional sijatulia kabisa ktk mind yangu hasa juu ya hili tukio watu hukatwa mapanga kabisa tena kwa jeraha kubwa ila huweza kufikishwa kwenye huduma ya kwanza na hatimaye kusafirishwa umbali mrefu tu huko vijijini na hupona hapa imekuajeee?

Jamaniii basi tu nahisi kulingana na hii inshu kuna kitu kimefichwa mie sikijui na pia sitakijua ambapo linabaki kua umivu sana hii ni zaidi ya kanumba maana yeye alidondoka na kuzirai kabisa lakini huyu ndugu kakimbizwa Hospitali akiongea,akibonyeza na simu yake,aliweza hata kumwita mke wake toka chumbani,kaingia chumba cha matibabu akiongea mara mtu kafaaa basi tu!!!!

Naogopa kusema mengi ila naona kuna mambo matatu yamechangia kifo cha Seki mungu wewe ndo wajua kila kitu laza roho ya huyu ndugu mahala pema peponi amina na hukumu pale palipo fanywa kwa uzembe na makusudi AMINA

watu wengi wakimaliza shule upoteana haswa wale wa miaka ambayo social media haikuwepo kwa wengi na wakati haikuwepo kaisa.

Pole, mie ningeshauri labda wanafunzi wenzenu unaowasiliana nao hata faceook au wapi wataweza kukupa jibu na pia nama ya simu ya mke wake umpigie kumpa pole na ukienda TZ kama ni Dar ukamtembelee umweleze nae atakusumulia kiundani kilichojiri.

nasema hivi I guess umesoma humu hujapata jibu.
 
Back
Top Bottom