tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Hahaaaaa Elli hiyo ni siri y jeshi 70% wanaume wanachepuka ukiona hachepuki jua hana hela au diabetis imemshika au marejesho w bank wamembana
Hivi huyu jamaa yako keshazikwa.??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa Elli hiyo ni siri y jeshi 70% wanaume wanachepuka ukiona hachepuki jua hana hela au diabetis imemshika au marejesho w bank wamembana
Hivi huyu jamaa yako keshazikwa.??
Tumezika jana mkuu
hiyo picha siioni
Huku dar aliagwa...sijaona pic kokote...sio normal kwa mtu anayejulikana
Picha zilikatazwa....
huyu mtoto ni kahaba kama ambavyo makahaba wengine wa bongo movies walivyo! yaani utashangaa wengi wao wameachika au kuzaa bila mume, au kuwa vimada! shame on u ladies wa bongo movies, mnapenda sana kitonga! na mama lulu ndio kabisa sina cha kumwambia, siku yake inakuja atalia na kusaga meno!
Ulikuwepo kwenye mazishi
Mke mweeee mekumithi!
Huyo mama lulu ni kahaba nae kwisha kazi!
Huyo lulu ameanza kumnywesha pombe toka akiwa na miaka 7,akiingia baa akikaa anasema kazaa mtoto mzuri!!enzi hizo Tabata kimanga!!
Huku dar aliagwa...sijaona pic kokote...sio normal kwa mtu anayejulikana
Huku dar aliagwa...sijaona pic kokote...sio normal kwa mtu anayejulikana
Mke mweeee mekumithi!
Huyo mama lulu ni kahaba nae kwisha kazi!
Huyo lulu ameanza kumnywesha pombe toka akiwa na miaka 7,akiingia baa akikaa anasema kazaa mtoto mzuri!!enzi hizo Tabata kimanga!!
Kuna ndugu yangu alikaa nao manzese...
Usemayo ni kweli...
Huyu mama alikuwa akishinda bar toka akiwa kijana ...
Kiasi hata baba Lulu alinyanyua mikono...
Si kwamba alimkataa ...
Ila tabia zake hazikuwa za kuwa mke wa mtu...
Nashangaa anashindwa kujifunza tokana na makosa na anamlea mwanae kwa mfumo ule ule...
Uzuri unakwisha..kwani yeye ukiambiwa alikuwa mzuri utakubali????
Lulu anaweza kuwa more decent kuliko alivyokuwa mama yake enzi zake kwa jinsi wanaomjua wanavyosimulia...
.Yap...nilikuwepo hata dodoma ilikua niende ...umachinga ukabana..vipi hujambo
Aliagwa dar