Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

jana angekua anakabidhiwa Vogue........... sema ndio kifo hikooo

Na mtombo wa nguvu angeupata, ndio hvyo, raha zina mwisho wake, kaacha kufungua kampuni ya filamu afanye kazi kama mwenzie odama, ye anawaza show off mjini, ndo ivyo na sijui nani atamtaka, ila wanaume tulivyo dhaifu kwenye k mkund atawapata tu
 
Jana nilivyopata taarifa nikazimia, nilipoenda kwake pia nikazimia, nilipomuona mke wake nikazimia, hasubuhi tena nikazimia, yani macho yamenivimba apa hatar

Sasa utaweza kuaga kweli na kuzimia kote huko? Angalia umbea usije ukakupita kwa kuzimia
 

na kanumba je?
Shida iko kwa huyu mtoto
 
Jaman habarin me ni mgeni humu ndani,huyu kaka aliyefariki namfahamu vyema alikuwa bestman wa ndoa ya rafiki yangu ameacha mke na watoto watatu,mkewe ni mcha Mungu sana,ila kwa hakika dunia ina mambo baada ya kufa kwake ndo familia inagundua kuwa alikuwa bwana wa Lulu na ndo aliyempa ujauzito,hakika tunahitaji neema ya Mungu katika haya maisha
 
Jana ilikuwa tukutane seky unipe hela ya ada, ooh jaman gone too soon, sijui naruhusiwa kudai msibani, maana marehemu aliniahid halafu kafa hajatimiza ahadi
 
Siku yake haikufika, kaifikisha Lulu. Ndio michezo yake hiyo.

Jamani basi huyu Dada atakuwa hatari. Yaani uue Mume Wa mtu uwaache watoto yatima na mke mjane kisa nini hasaaa.
Wanaume na nyinyi mtuliage sasaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…