kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Lulu ana nyota ya ujane....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoa mbele na nyuma pia ni hard work binamu
Hahahaaa itabidi ninunue viroba vya mkuyat
mmmmh relation na mzee wa misitu sina hakika aisee!
nimeongelea kanumba na seki
KWAni alikiba bilionea??
Anamke mzuri mara 1000 ya lulu n kina wolper
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.
Ila wapenzi wake wote kuna jambo wanashare..
Kanumba and Komba majina yanaishia na MBA
Kanumba na Seki wote wamefariki APRIL
enzi zile anatafuta jina lulu kadinywa sana na kiba
Yap ndio nilimaanishaa warumi naeè
doko zao
Kila mtu ni mpenzi wa Lulu sikuhizi?
picha yake...mweh r.i.p seky pole sana lulu
Nyumbani kwake ni tegeta madale mbele ya wazo, hakuwahi kukaa mbezi, lulu ndo alipangiwa mbezi beach
umbea umemzidi hadi hajielewi
Huyu jamaa nilikuwa namwona sana mitaa ya kinyerezi nikajua ndio kwake, basi atakuwa alikuwa na michepuko mingi sana.
Itabidi abadili achukue wa tofauti na hawa
wataalamu wa mambo wanasema nuksi...mi naona siku zinakua zmefika ila ndo kwanini zifikie kwa lulu!!!kuna bidada mmoja ye wapenzi wake wanajinyonga mwaka jana kajinyonga mwanaume wa 4Nilisha sema huko nyuma! Huyu mtoto anakisukumi ukijichanganya nae tu anzakuandika Wosia, kunauwezakano mkubwa utatangulia tu.
hahahaaaaaaaaaAhahahah aah nyoko wewe