Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

huu uzi afadhari nimeukuta tangu jana nilikuwa nafukuzana nao uliluwa unakimbia mbio kishenzi , haauna tofauti na uzi wa kifo cha kombaukiwa unacoment ukimaliza utakuta page mbili mbele huyu binti wanaomtia wana nyota kali sana
 
Nyumbani kwake ni tegeta madale mbele ya wazo, hakuwahi kukaa mbezi, lulu ndo alipangiwa mbezi beach

Huyu jamaa nilikuwa namwona sana mitaa ya kinyerezi nikajua ndio kwake, basi atakuwa alikuwa na michepuko mingi sana.
 
Huyu jamaa nilikuwa namwona sana mitaa ya kinyerezi nikajua ndio kwake, basi atakuwa alikuwa na michepuko mingi sana.

NAsikia lile BMW la diamond alimpa yeye zawadi, kweli seky alikuwa ana huruma, na nyumba kamsaidia kujenga
 
Nilisha sema huko nyuma! Huyu mtoto anakisukumi ukijichanganya nae tu anzakuandika Wosia, kunauwezakano mkubwa utatangulia tu.
wataalamu wa mambo wanasema nuksi...mi naona siku zinakua zmefika ila ndo kwanini zifikie kwa lulu!!!kuna bidada mmoja ye wapenzi wake wanajinyonga mwaka jana kajinyonga mwanaume wa 4
 
Back
Top Bottom