Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Ahahaaa nakwambia huruma na mahaba yetu kwao yanatuponza!unabana matumizi mwenyewe mama wa watu ili siku moja muwa kama bakhressa kumbe mwenzako anampelekea wolpar

Maisha yenyewe mafupi acha wa2 wale maisha jamani huku migodini kuna suluba acha 2 mtu unaweza kaa chini wiki bila kufika juu.istoshe rizki kugawana wengi wamefaidi kwa seki sio lulu tu
 
Ahahaaa nakwambia huruma na mahaba yetu kwao yanatuponza!unabana matumizi mwenyewe mama wa watu ili siku moja muwa kama bakhressa kumbe mwenzako anampelekea wolpar

Haki ya Mungu kwa hili nimejifunza sana.Sasa hivi nabadilika mazee.
Najaribu kuvaa viatu vya mke wake vinanipwaya kila nikiwaza zile show off za Lulu kumbe insta.
Imagine ndio mumeo anayefadhili!
Uwiiiiii!
 
Umeona eeh? Wanawake tuamke wanaume sio wenzetu. Tunakufa nyumbani kwa wali ndondo kumbe wanaenda kutafuna bata huko na akina Lulu!
Nimeumia jamani utadhani mimi ndio mwenye mume!

Wake mwisho 4 istoshe lulu hajafaidi cha maana kuna bibie ananyumba n gari.pia seki mda wote alikua arusha dar alikua anakuja wkend kuangalia familia n biashara zake.halafu wewe nifah usicheke mamba kabla hujavuka mto
 
Nimeshikwa na hasira hadi nakosa cha kusema!
Wanaume wanakera sana jamani! Huyo Lulu naye alivyojiachia? Yeye si bingwa wa kuweka picha insta? Mbona hiyo hakuweka?
thubutuuuuu aweze kuweka picha kama hii ana anaubavu? ?ukizingatia anaiba mume wa mtu........na ndo alokua akimpa jeuri mjini saivi mpoleeeee na account yake insta kaifuta haipogo tena

Ila mke mkubwa yupo bien
Sanaa basi tu jamaa tamaa zimem maliza na uyu lulu sijui ana nn maana kila mwanaume anaemgusa anakufa hmm........

well said mkuu..............

mke wake yuko bomba tamaa zake tu.....lulu sijui ana jini mahaba alitaki awe na mwanaume maana kila mwanaume anaedate nae lazma arest in peace
kuna reason behind the scenes hapa....kuna picha kaweka Mbutananga kwenye account yake ya Instagram inaeleza yote hayo ngoja nikushushie

Benz inakula mafuta na spea ghali ndio maana tunakimbilia kwenye vitz
umesomeka mkuu.............

l know the guy.

R.I.P LUSEKELO

Alazwe anapostahili...........
 
Kwani mdetichia wewe ni ke au me?
Maana haya maelezo hapa ni kama ke wakati mimi hua najua wewe ni me!
 
Last edited by a moderator:
Mmmnh! Kwanini akae kwenye meza ya kioo, makochi hayapi??? Mmh Mungu ni samehe nisije nika haribu bure!!!!

Nakuambia tokea jana nimeogopa sana baada ya kusikia huyu kaka alikua kakalia meza ya kioo maana ndio tabia yangu kubwa!
Jamani nilikua napenda kukaa kwenye meza balaa, ila hii yangu ni ngumu na mimi mwenyewe ni kimbau mbau lasivyo ningeshatangulia!
Ila sikalii tena ever!
 
Wake mwisho 4 istoshe lulu hajafaidi cha maana kuna bibie ananyumba n gari.pia seki mda wote alikua arusha dar alikua anakuja wkend kuangalia familia n biashara zake.halafu wewe nifah usicheke mamba kabla hujavuka mto
kumbe alikuwa na michepuko wengi?na alikuwa muhongaji mzuri?hope kwao kajenga,isije ikawa aibu watu watakapokwenda kuzika.
 
Kwani mdetichia wewe ni ke au me?
Maana haya maelezo hapa ni kama ke wakati mimi hua najua wewe ni me!

Ke mwayego huyu dogo aisee nishidaa ana moyo wa chuma kwanza kwa lile sanga la kanumba lililomsibu ningekuwa mie ningeenda likizo ya wanaume lakini yeye kutoka selo tu huyo keshairukia sijui ana nini huyu mtoto .
 
Last edited by a moderator:
Wake mwisho 4 istoshe lulu hajafaidi cha maana kuna bibie ananyumba n gari.pia seki mda wote alikua arusha dar alikua anakuja wkend kuangalia familia n biashara zake.halafu wewe nifah usicheke mamba kabla hujavuka mto

Acha hizo wewe.Mimi hapa naongea kama mwanamke ninayejua uchungu wa mwanaume.Ungekua mwanamke mwenzangu ukasema haya ningekushangaa sana.
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kukubaliana na huu ushenzi wa wanaume. Mbona sisi tunavumilia na kutulia na nyie? Kwani sisi wanaume wengine hatuwaoni? Hebu muangalie mke wake alivyo mzuri jamani! Nina uhakika mkewe kama analia sasa analia kwa mengi kubwa ni hiyo aibu ya kushea mume na Lulu!
Wewe acha tu sikia kwa watu ila uchungu tulionao wanawake ni mkubwa sana.
 
Nimesikitika sana sana jana kupokea hii habari ya Seck, apumzike kwa amani, hiki kitoto sijui kwanini mama yake anakiachia kwa malezi haya jamani, mama unafanyiwa birthday kubwa na mtoto na kukenua mpaka jino la mwisho kwa kipato kipi au shughuli gani ya maana aliyofanya? halafu kinachonikera zaidi ni mmama mwenye nguvu zake kabisa hashindwi kujishughulisha hata kwa vibiashara, wamama wenzie wanakimbizana yeye yupo tu anachekelea vya dezo, ndio haya yanawafika sasa! mimewamiss sana.
 
kumbe alikuwa na michepuko wengi?na alikuwa muhongaji mzuri?hope kwao kajenga,isije ikawa aibu watu watakapokwenda kuzika.

Kazi y migodini ni risk sana istoshe mtu unafanya kazi chini 500mts c dunia ingine hiyo acheni wa2 wale raha 2 hela wanazipata kwa shida sana.niwe mkweli 2 jamaa alikua anafanya uhuni kwa siri sana lastyea june alivyoachishwa kazi ndio akarudi dar ndio wa2 wakamwona n lulu.
Kaanza kua n lulu 2013 kimyakimya
 
Kwahiyo kushea kunashida gani mnapenda kuishi maisha ya tamthilia nifah hakuna mwanaume w hivyo kwenye 100 labda 2 ndio hawachepuki nyie ndio chanzo cha yote mnatamanisha n hivyo vilenzi mbinuko
 
kumbe alifukuzwa kazi?kwa nini?
 
Maisha yenyewe mafupi acha wa2 wale maisha jamani huku migodini kuna suluba acha 2 mtu unaweza kaa chini wiki bila kufika juu.istoshe rizki kugawana wengi wamefaidi kwa seki sio lulu tu

Nyie endeleeni tu kugawa hizo riziki mwisho wa siku tunaumia wote
 
Ke mwayego huyu dogo aisee nishidaa ana moyo wa chuma kwanza kwa lile sanga la kanumba lililomsibu ningekuwa mie ningeenda likizo ya wanaume lakini yeye kutoka selo tu huyo keshairukia sijui ana nini huyu mtoto .

Dah! Pole sana mwaya maana kuna siku uliniudhi mimi nikadhani mwanaume nilikurarua kwelikweli.
Yamepita hayo, one ♥.
 
Masikini kaka wa watu! Kumbe huyu ndiye aliyekua anampa jeuri eeh?
Haya sasa.
Yes huyu ndo alokua akimpa jeuri mjini.....maisha ya kutaka shortcat ndo haya malipo yake mme wa mtu sumu

kuna watu jana walisema eti ukiwa na mpenzi ambaye haoti zile nywele za chini a.k.a mavu.zi ni hatari sana...wenza wako watakuwa wanakufa...itabidi haka katoto tukachunguze vizuri...
kachunguzwe kwakweli maana ishakua balaa na wanaume makini watamuogopa sasa

Duuuu ni balaaa jamanii
zaidi ya balaa lol.....maana list za wafu zaongezeka tu

huyu dogo atakua hana nywele hata za kichwani aiseee
anaonekana mtam
yawezekana...............

KANUMBA
KOMBA
SEKI-MBA wewe Luluuuu
hahahahaaa mkuu usitake nicheke kwenye jambo la huzuni....though it's true

Pole yako... mpenzi wa tatu anafariki... na leo alikua kaandaa bonge la party siku ya birthday yake.. unapanga hili mungu nae anapanga jingine
yaan birthday ilihairishwa yuhoi na ile mimba maskini ndo ashakua mjane mwanaume alokua akimpa jeuri keshakufa ila huyu lulu arejee tu kwa Mungu wake ana spirit's kali sana

lulu atakuwa hana zile nywele za downward hilo ni tatizo pia
Duh kumbe kuna watu hawana nywele down there? ?nimesoma kitu apo

Hahahaaa! Kuna jamaa yangu mmoja amewahi kutoka naye basi tu namheshimu lasivyo ningemuuliza kama anazo au lah!
muulize tu tupate jua ukweli wailo jambo la kutoota nywele down there.......lasivyo nitafanya personal research juu ya hili

kila mwenza wa lulu anafariki "ghafla" tena kwa kuanguka

Yaan ni Utata full...........
 
Wake mwisho 4 istoshe lulu hajafaidi cha maana kuna bibie ananyumba n gari.pia seki mda wote alikua arusha dar alikua anakuja wkend kuangalia familia n biashara zake.halafu wewe nifah usicheke mamba kabla hujavuka mto

Yaani ukisema hivyo ya wake mwisho wanne roho inauma balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…