Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Is it possible mkuu?
600m a week?
As far as I know huwezi kupiga alone mawe...kuna watu wa security na wengine kama wa instrumentation ambao wanasaidia ktk ku deactivate system.
Hao wote wanapata mgao...and normally migao huwa ni flat rate kwa wote. Hebu nifafanulie hapo nielewe mkuu.

Mkuu alikua anapiga bila kumhusisha walinzi alikua n wa2 wke istoshe kwa cheo chake alikua n nafasi kubwa tu ila mgawo alikua anampa mzee d.bro wangu kamuuzia mawe zaidi y mara 3 ila mara ya mwisho alimuuzia 1.2b jiwe kubwa tu.ndio nkastuka kua huyu jamaa yuko njema
 
Huyu binti inabidi asaidiwe, si bure! Huenda kuna DJINN linammiliki kama mke wake pasipo yeye kufahamu! Na alivo mrembo wengi tutauawa! R.I.P uliyetutangulia!

Ohhhh Yes, kuna kitu umenikumbusha kuna baadhi ya wanawake wanamilikiwa na spiritual husbands, husababisha sana kufariki kwa wapenz/waume zao katika mazingira tata.
 
Tabia ni kma ngozi cku hizi kila dem anataka kudrive n kuishi artificial life pia mashababi twn wamejaa unategemea nini.seki kaacha familia vizuri sana pia bank yuko vizuri mama amalizie tu hiyo hotel dom tena ikibidi aache kazi asimamie miradi yake cz anacoaster 15 hapo dar zinafanya kazi

Huyo mke wa marehemu awe makini sana asije potezwa na ndugu wa mume wake ili wachukue mali.
 
Mkuu alikua anapiga bila kumhusisha walinzi alikua n wa2 wke istoshe kwa cheo chake alikua n nafasi kubwa tu ila mgawo alikua anampa mzee d.bro wangu kamuuzia mawe zaidi y mara 3 ila mara ya mwisho alimuuzia 1.2b jiwe kubwa tu.ndio nkastuka kua huyu jamaa yuko njema

Mkuu have you ever been in a strong room before? Naongea haya kwa uzoefu wa maeneo kama hayo...huwa ni ngumu sana kuiba alone kwenye sehemu kama hizo.
Kama usemayo ni sahihi basi hapo TanzaniteOne ni shamba la bibi.
 
Siamini, na sitaamini kama mwanamme analogeka ili apende.

Mpenzi usisahau kuwa wengi wao huwa inakuwa kizuri kabla hujakipata na kukimiliki jumla.... ukishakipata unakipa thamani ua 'ukawaida' ilhali jirani anakikodolea macho.

Huko kwenye 'vituo vya daladala' huwa wanafuata fame, majina nae aonekane anatoka na mtoto mkali wa mjini na wengine wananaswa na 'mitego ya kalumanzila' bila kujijua.

Ndio maana dini zinashauri wanawake kuwaombea sana waume na ndoa zao kila watokapo na waingiapo maana ibilisi amelikamata sana hili gurudumu la ndoa. Hali kadhalika waume nao wapaswa kuwaombea wake na ndoa zao. Mwanaume simply because umemuoa mwanamke ukamzalisha na kumweka ndani haimaanishi kuwa ndio mwisho wa yeye kutamaniwa au kupendwa msijiridhishe.
 
Mkuu have you ever been in a strong room before? Naongea haya kwa uzoefu wa maeneo kama hayo...huwa ni ngumu sana kuiba alone kwenye sehemu kama hizo.
Kama usemayo ni sahihi basi hapo TanzaniteOne ni shamba la bibi.

Alikua anapiga mawe chini cyo strongroom mbna hiyo wa2 wamepiga sana kitambo tu istoshe tanzanite inaweza toka kwa kustukiza bila mzungu kujua so wa2 wanakula mzigo wote
 
Kweli mchifa maradhi kifo humuumbua sasa sijui huyu mtoto atakataa vip na ushahidi wa picha huu hapa!
 
Kwanza ngoja nimcheki shehe kipozeo nisilimu tu nioe japo 2 wanatosha.maisha ndio hayahaya wadada hawataki kufanya kazi sasa mnategemea nini.adui w mwanamke ni mwanamke mwenzie

hata kama kazi zikiwepo,pesa zenu tamu bwana!labda mwanamke awe level ya kina tibaijuka huko au mfanyabiashara mkubwa ndio hatotegemea pesa za mwanaume.

Lakini sie wa mshahara wa vilaki kadhaa hela zenu tunazipendaaaaaa tuache utani
 
khaaa!!we kiboko

Achane wa2 wale maisha tu hakua maisha zaidi y haya ambae hafanyi starehe itakua ana marejesho au diabetis imemshika.hivi kimbley kma miradi nimefungua y kutosha pia majumba nimejenga kila ki2 kizuri familia inapata kunashida hapo.namuona nifah povu linamtoka kma kanywa toss hahahaaaa
 

Attachments

  • 1429308882125.jpg
    1429308882125.jpg
    35.3 KB · Views: 651
hata kama kazi zikiwepo,pesa zenu tamu bwana!labda mwanamke awe level ya kina tibaijuka huko au mfanyabiashara mkubwa ndio hatotegemea pesa za mwanaume.

Lakini sie wa mshahara wa vilaki kadhaa hela zenu tunazipendaaaaaa tuache utani

Hahaaaa kumbe mnajua hilo ila mnajitoa ufahamu tu mnataka cjui ist mara ohhh dia nataka prado yote hayo ni wanaume ndio watoaji ila pia tamaa nazo mbaya
 
Naongea ukweli tupu hivi mwanaume w hivyo karne hii hamna hebu angalia vizee vinatamani virudi kua vijana vitoe dose kwa vibinti ila ndio hvyo

Mkuu...wazee wanaojilipua uzee unaweza kuta during their youth walikuwa very faithful to their wives na ndiyo maana hata wameishi muda mrefu.
Sasa wanapojilipua muda huu wanajua dk 90 zishaisha wapo kwenye injury time tu coz any time mpira utaisha na hakuna dk 30 za nyongeza!

Sasa sisi wa sikuhizi tunaanza malipuzi dk ya 15 tu kweli hapo unategemea nini zaidi ya kupigwa straight red card??? Vijana wengine wakijitahidi sana wanaishia dk ya 30 tu anakuwa kashapigwa njano mbili...off he goes!
Binafsi nimejifunza sana kupitia misiba ya aina hii...God have Mercy.
 
Miziziology mkuu...siyo kisheria.
Kwa usalama wake ajikabidhi kwa Mungu FULLY...asibeep!

Yap ila jamaa naona kazi zote alikua anasimamia wife mana feb nlikua nae dom kibiashara wife ndio alifanya kila ki2 mpka nikaona jamaa anampenda mkewe.
 
Back
Top Bottom