Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Is it possible mkuu?
600m a week?
As far as I know huwezi kupiga alone mawe...kuna watu wa security na wengine kama wa instrumentation ambao wanasaidia ktk ku deactivate system.
Hao wote wanapata mgao...and normally migao huwa ni flat rate kwa wote. Hebu nifafanulie hapo nielewe mkuu.
Huyu binti inabidi asaidiwe, si bure! Huenda kuna DJINN linammiliki kama mke wake pasipo yeye kufahamu! Na alivo mrembo wengi tutauawa! R.I.P uliyetutangulia!
Tabia ni kma ngozi cku hizi kila dem anataka kudrive n kuishi artificial life pia mashababi twn wamejaa unategemea nini.seki kaacha familia vizuri sana pia bank yuko vizuri mama amalizie tu hiyo hotel dom tena ikibidi aache kazi asimamie miradi yake cz anacoaster 15 hapo dar zinafanya kazi
Huyo mke wa marehemu awe makini sana asije potezwa na ndugu wa mume wake ili wachukue mali.
Mkuu alikua anapiga bila kumhusisha walinzi alikua n wa2 wke istoshe kwa cheo chake alikua n nafasi kubwa tu ila mgawo alikua anampa mzee d.bro wangu kamuuzia mawe zaidi y mara 3 ila mara ya mwisho alimuuzia 1.2b jiwe kubwa tu.ndio nkastuka kua huyu jamaa yuko njema
Mpenzi usisahau kuwa wengi wao huwa inakuwa kizuri kabla hujakipata na kukimiliki jumla.... ukishakipata unakipa thamani ua 'ukawaida' ilhali jirani anakikodolea macho.
Huko kwenye 'vituo vya daladala' huwa wanafuata fame, majina nae aonekane anatoka na mtoto mkali wa mjini na wengine wananaswa na 'mitego ya kalumanzila' bila kujijua.
Ndio maana dini zinashauri wanawake kuwaombea sana waume na ndoa zao kila watokapo na waingiapo maana ibilisi amelikamata sana hili gurudumu la ndoa. Hali kadhalika waume nao wapaswa kuwaombea wake na ndoa zao. Mwanaume simply because umemuoa mwanamke ukamzalisha na kumweka ndani haimaanishi kuwa ndio mwisho wa yeye kutamaniwa au kupendwa msijiridhishe.
Kwanza ngoja nimcheki shehe kipozeo nisilimu tu nioe japo 2 wanatosha.maisha ndio hayahaya wadada hawataki kufanya kazi sasa mnategemea nini.adui w mwanamke ni mwanamke mwenzie
Mke msomi hao wajinga hawataweza mama kodi zote ndio hupokea yeye kuanzia hostel z dom na nyumba z dar
Mkuu have you ever been in a strong room before? Naongea haya kwa uzoefu wa maeneo kama hayo...huwa ni ngumu sana kuiba alone kwenye sehemu kama hizo.
Kama usemayo ni sahihi basi hapo TanzaniteOne ni shamba la bibi.
Kwahiyo lulu amelala na wanaume watatu tu mpaka sasa? Kama sivyo, na ni kweli ana mkosi, hao wengine kwanini hawajafa?
Kwanza ngoja nimcheki shehe kipozeo nisilimu tu nioe japo 2 wanatosha.maisha ndio hayahaya wadada hawataki kufanya kazi sasa mnategemea nini.adui w mwanamke ni mwanamke mwenzie
khaaa!!we kiboko
hata kama kazi zikiwepo,pesa zenu tamu bwana!labda mwanamke awe level ya kina tibaijuka huko au mfanyabiashara mkubwa ndio hatotegemea pesa za mwanaume.
Lakini sie wa mshahara wa vilaki kadhaa hela zenu tunazipendaaaaaa tuache utani
Huyu ashazoea wala halitomuathiri chochote kwani ndo mpenz wake wa kwanza kumfia??????Kweli mchifa maradhi kifo humuumbua sasa sijui huyu mtoto atakataa vip na ushahidi wa picha huu hapa!
nmeona...wabongo kwa kuongea hakuna anaetuweza ha ha ha
Naongea ukweli tupu hivi mwanaume w hivyo karne hii hamna hebu angalia vizee vinatamani virudi kua vijana vitoe dose kwa vibinti ila ndio hvyo
Miziziology mkuu...siyo kisheria.
Kwa usalama wake ajikabidhi kwa Mungu FULLY...asibeep!