Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia


Me nmekumiss tu.
 
Kujiendekeza tu huko na uzinzi na ndo tatizo la wanaume wengi life is really short but it doesn't allow people to do evil things in the society just because life is short you can anything better that why life for men's are too short.

Lyf iz 2 short acha wa2 wale raha ilimradi uwe umeshajijenga kimaisha
 
hv hawanaga aibu hawa mbwa mwitu kweli jamani
hv mbona hawamtakii mema marehemu huko aendako kwa MUNGU wake!

Ndo shida ya kuchepuka na mipoyoyo!
Sasa huyu naye hatakama alikua ana share dudu la mme wa mtu kuna haja gani ya kujifanya umeguswa? Anamshirikisha mpaka Mungu pambaff kabisa huyu husna.
Watu wengine wanajitafutua laana tu.
Haya sasa mke katulia kazi vidampa kujianika.Pambaff zao kabisa😡😡😡
 
Poleni sana kwa familia ya marehemu! Tumuombee Mungu amp e Nguvu za kumaliza msiba salama na kuendelea kulea watoto wa marehemu katika misingi ya Mungu!🙏
 
Kujiendekeza tu huko na uzinzi na ndo tatizo la wanaume wengi life is really short but it doesn't allow people to do evil things in the society just because life is short you can anything better that why life for men's are too short.

Maybe the way we feel utamu wa kurahatupika ni tofauti between men na women....

Ndio maana tunajiendekeza...lakini mbona utafiti unaonesha wanawake ndio wanaoongoza kutoa hiyo papuchi..

Don't talk until u step in the shoes of men...maybe you know nothing...

Kuhusu maisha kuwa mafupi nasikia mnatuwaga nyie...mfano kule moshi kwa wapalestina..ili mrithi mali
 
I mean Mungu Ampe nguvu mke wa marehemu
Nguzu na uvumilivu! It so sad! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏How some people misuse God's words kwenye mambo ya uovu kama hii mesej ya husna! Ila leo hii kamuita baba!
 
ndo walivyo almost wotee..!!
wachache sana wanamaintain status zao wakipata hela

Mungu asimamie ndoa nyingi na wengi hupewa libwata hamna kipya wakipatacho Sana Maradhi kufanywa mazuzu hadi kifo matokeo yake kuacha Familia. Only God intervention will save marriages aisee.
 
jinga sana huyu bata mzinga sijui wakoje hawa
 
Mungu asimamie ndoa nyingi na wengi hupewa libwata hamna kipya wakipatacho Sana Maradhi kufanywa mazuzu hadi kifo matokeo yake kuacha Familia. Only God intervention will save marriages aisee.

best niko ndoani i know hardship zote bas tu yaani
maombi ndo kila kitu
 

Katika wanaume 10 mfano wanawake wawili wanakuwa shared! Kwa maths hapo wanaoongoza ni wanaume! Wanawake wanaongoza kwa kufake relationship na kuvumiliamo ila men anashindwa kufake anachepuka mwisho wa siku wanajikuta men 10 wanawake 2 au 3 hapo chacha!
 

Wanaume mmezidi hasa mkipata vijisent ndo hamshikiki hamfikirii about future ya Familia kinacho waua wengi kabla ya mda ni life lisilo mpendeza Mungu kuendekeza wanawake na Hao wanawawekea dawa na ushirikina ili muone wao ni bora mziki kuhonga ndo mana mtakua mnatangulia kila siku mkizani Mna enjoy na wajinga ndo waliwao you need to change and stop all bad behaviour.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…