Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Ni kweli kafia kwa mchepuko??? We ni msafi kias gan kumhukumu mwenzio to that extent??
uchafu wangu hauhalalishi marehemu kua na vimada huku yuko ndoani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kafia kwa mchepuko??? We ni msafi kias gan kumhukumu mwenzio to that extent??
kajidhalilisha mwenyewe kwa umalaya wake
Yaani wewe acha tu nikujishika na Mungu, me kuna mchepuko uliwahi kuniletea watoto eti hapewi matumizi, anaomba msaada apeleke mtoto hospital. Mume akaniambia msaidie kama unataka nilimalizana naye siku aliyonipa k, lakini ananiganda. Duh nikabaki na hasira huku namwonea mtoto mgonjwa huruma. Yaani we acha tu.hahaaaaa...!!
sie tulio ndoani ndo tuko kwenye risk sana ya kufa na maradhi yote,kurogwa,kudharauliwa na watoto kutelekezwa pia
mtu anahangaika weee hujui karudi na maradhi gani
hasa sie waume kaskazini,wake kusini
bas ni kumuomba MUNGU na kumuachia yy atuhukumie
Yaani wewe acha tu nikujishika na Mungu, me kuna mchepuko uliwahi kuniletea watoto eti hapewi matumizi, anaomba msaada apeleke mtoto hospital. Mume akaniambia msaidie kama unataka nilimalizana naye siku aliyonipa k, lakini ananiganda. Duh nikabaki na hasira huku namwonea mtoto mgonjwa huruma. Yaani we acha tu.
Mentor siye wazamani huwa tunajua kuwa hili lipo, na ukweli nie na Donatila tuliandamwa sana lakin nilismea ni ukweli "KIPARA/VIPARA" huwa wanaadamwa na roho ya kufisha.
kweli kabisa kula like mkuuHuu sio msiba bali ni aibu.Wala sioni kitu cha kufurahisha bali kuhuzunisha.Huyu mwanaume alikuwa mtu wa aina gani? Aibu gani hii? Hata aamke leo je,ataweza kukabiliana na aibu hii? Amemkosea sana mke wake.Haya mambo yangekuwa siri yake na sio kwenye jamii huku inajulikana kaoa na familia
Ulimbukeni mwingine sio na pesa za haraka.
Nasubiria Lulu
afe kwa ghafla nae
Huu sio msiba bali ni aibu.Wala sioni kitu cha kufurahisha bali kuhuzunisha.Huyu mwanaume alikuwa mtu wa aina gani? Aibu gani hii? Hata aamke leo je,ataweza kukabiliana na aibu hii? Amemkosea sana mke wake.Haya mambo yangekuwa siri yake na sio kwenye jamii huku inajulikana kaoa na familia
Ulimbukeni mwingine sio na pesa za haraka.
Duuuu ni balaaa jamanii
Duuuu ni balaaa jamanii
Dinazarde nakumbuka ulishawahi kumuasa humu akae mbali na Lilu yasijemkuta ya Kanumba,hakukusikia nae kafa kitatanishi
Mwaka jana mwezi kama huu ulimtahadharisha huyo Seki. Laiti angekuskia.....
Ndugu yangu naona unajaribu kuzuia mafuriko kwa mkono... sa hivi hiyo ndio imebaki habari ya midomoni kwa watu...
Mke atalia na mengi kwa wakati huu
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption