Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu msiba unatia simanzi sana marehemu kaumia sehemu ndogo sana ila madaktari wameshindwa fanya chochote cz hatuna vifaa vya kisasa hosp zetu,so sad amekufa huku anajiona mana ameongezewa damu mara 2 ila haikusaidia kitu
Huu msiba unatia simanzi sana marehemu kaumia sehemu ndogo sana ila madaktari wameshindwa fanya chochote cz hatuna vifaa vya kisasa hosp zetu,so sad amekufa huku anajiona mana ameongezewa damu mara 2 ila haikusaidia kitu
wadada tumekuwa ya ajabu kwelikweliCha kuhuzunisha zaidi ni wa Tanzania wengi wanampa pole mchepuko lulu kama vile marehemu alikuwa hana mke...
Yaani wanazidi kusapoti kuwa kuiba wanaume wa watu ni sawa. Wengi ambao ni vibinti hawajaonja yao wataijua ndoa...
Inaboa sana.
Acha hizo wewe.Mimi hapa naongea kama mwanamke ninayejua uchungu wa mwanaume.Ungekua mwanamke mwenzangu ukasema haya ningekushangaa sana.
Hakuna mwanamke ambaye anaweza kukubaliana na huu ushenzi wa wanaume. Mbona sisi tunavumilia na kutulia na nyie? Kwani sisi wanaume wengine hatuwaoni? Hebu muangalie mke wake alivyo mzuri jamani! Nina uhakika mkewe kama analia sasa analia kwa mengi kubwa ni hiyo aibu ya kushea mume na Lulu!
Wewe acha tu sikia kwa watu ila uchungu tulionao wanawake ni mkubwa sana.
imekuwa fashion kwa wadada, yaan kama hapa ofisini 75% hawana wachumba kisa wanaona waume za watu wenye pesa ndio wa maana. ukiwaambia mchumba wangu hata vits hana wananiona kama nimerogwa na wananishangaa namna navyowatosa waume za watu wenye pesa
imekuwa fashion kwa wadada, yaan kama hapa ofisini 75% hawana wachumba kisa wanaona waume za watu wenye pesa ndio wa maana. ukiwaambia mchumba wangu hata vits hana wananiona kama nimerogwa na wananishangaa namna navyowatosa waume za watu wenye pesa
hv mshikaji mbona kataka kuzikiwa dom sasa wakati mnyaki?
Mkuu Mako anayekula Uwoya ni yule chalii aliyetoka states majuzi au yupi??
Kwao ni dom cz alilelewa n mjomba wke toka akiwa mdogo ni yatima
Kama inavyo jieleza, kwa wale watakaopata nafasi ratiba ndiyo hiyo hapo katibuni
ndo maana pesa zake hakua na huruma nazo maana alikua anahonga tuu
Watajijua wenyewe wenye tabia hiyo.Mie acha nichekwe tu lakini sio kuiga huo upuuzi.
Karma itawatafuna tu wakishapata waume zao na wao.Je watawaacha wengine wawachune waume zao kama wao walivyokua wanafanya kwa wenzao?
hata angeacha mtambo wa kufyatua hela chumbani usingeondoa maumivu kwa mkewe kila anapowaza usaliti jamaa aliokuwa anamfanyia.Geniveros huyu mtu kaacha nyumba z kutosha dar 15 na acc ya maana so family itaishi vizuri thou baba hayupo
sijamzuia mtu wangu kuchepuka bali nsichotaka ni kuwa na nyumba ndogoila hawa wa kuwavumilia unachuma nao mwisho wa siku wanakua kina seki wakizipata wanatafuta wakina lulu we unabaki unalia na mito Mungu atuongoze maana hali ni tete
Ana adabu au ana mapepo yanasumbua kichwani, huwezi andika hivyo kwa mtu hakuwa mumeo na mkewe angali yupo.Mchepuko mwingine unamachungu.....
Ila angalau huyu ana adabu kwa mke na watoto...
Watazimiss sana fedha za bwerere na madini......
Ana adabu au ana mapepo yanasumbua kichwani, huwezi andika hivyo kwa mtu hakuwa mumeo na mkewe angali yupo.