Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Huu sio msiba bali ni aibu.Wala sioni kitu cha kufurahisha bali kuhuzunisha.Huyu mwanaume alikuwa mtu wa aina gani? Aibu gani hii? Hata aamke leo je,ataweza kukabiliana na aibu hii? Amemkosea sana mke wake.Haya mambo yangekuwa siri yake na sio kwenye jamii huku inajulikana kaoa na familia
Ulimbukeni mwingine sio na pesa za haraka.

Cha kuhuzunisha zaidi ni wa Tanzania wengi wanampa pole mchepuko lulu kama vile marehemu alikuwa hana mke...

Yaani wanazidi kusapoti kuwa kuiba wanaume wa watu ni sawa. Wengi ambao ni vibinti hawajaonja yao wataijua ndoa...

Inaboa sana.
 
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption

Kama kweli sitashangaa. Nimesema mara zote, kale sio ka binadamu kale. Msukule ule!! Yule mtoto hana roho!
 
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption

Hayupi mkuu nimejaribu kumcheki hayupo,
 
Mbona nimetoka huko sasa hivi hakuna kitu? Au mimi ndio nimekosea nini?

Kuna fan page kabadili jina na kujiita lulumichael.
Nlishavurugwa ila ni kama anataka kumchafua kapost pic ya lulu na seth saaiz
Ila mbona siku iffollow hii
 
Kuna fan page kabadili jina na kujiita lulumichael.
Nlishavurugwa ila ni kama anataka kumchafua kapost pic ya lulu na seth saaiz
Ila mbona siku iffollow hii

Fanya ku screen shot hiyo picha basi utuwekee maana a/c fake ziko nyingi mpaka nipate hiyo yenye picha ni shughuli.
 
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption

Mbona account yake haipo bado... hilo jina gani uliloona
 
Cha kuhuzunisha zaidi ni wa Tanzania wengi wanampa pole mchepuko lulu kama vile marehemu alikuwa hana mke...

Yaani wanazidi kusapoti kuwa kuiba wanaume wa watu ni sawa. Wengi ambao ni vibinti hawajaonja yao wataijua ndoa...

Inaboa sana.

Huu msiba unatia simanzi sana marehemu kaumia sehemu ndogo sana ila madaktari wameshindwa fanya chochote cz hatuna vifaa vya kisasa hosp zetu,so sad amekufa huku anajiona mana ameongezewa damu mara 2 ila haikusaidia kitu
 
Back
Top Bottom