Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Hiyo picha itakua alipigwa bila kujua istoshe mbna ni hiyo moja 2.amerudi dar mwaka jana june wakti yuko huko alikua anaonekana jmos mara chache sana.wkend lazma alikua aende kuangalia familiy yke dar
hivi mke wa Secky ni kabila gani?maana kwa uvumilivu huu nimemvulia kofia
 
ila MUNGU fundi sana
daah kamuumbua haswaa mchepuko siku ya bday raha sana
na yaweza kua usemayo ni kweli maana vogue ni mpunga mrefu ujue
acha kabisa lazima lulu aliomba vogue au porsche ili awakimbize kina murano,sasa Mungu kamuumbua,hata picha za birthday hatujaona,hivi kweli inakuja lulu kufanya birtday ya mdogo wake siku aliyokufa kanumba?aisee ukizingAtia mpaka leo ni yeye peke yake ndo anaejuwa alichomfanya kanumba mpaka akafa.Mama Kanumba aliposikia kifo cha Secky lazima alichekea moyoni
 
Cjui kwa kweli ila mwanamke mwenye upeo nlikaa nao dom anaongea vi2 vya maendeleo sana namuombea amalizie hiyo hotel mana itakua hotel nzuri kwa dodoma
sasa kWa nini Secky alikuwa anamcheat namna ile?mpaka na kina masongange.msomi Engneer mzima anatoka na lulu,husna.Kweli kamuaibisha sana mke wake.mke wake anaekaa kwenye vikao na kina mkangala waziri wa habari.mme anamreduce to zero namna ile?
 
Nkwelae lekaga gete,inauma sana,hiki kifo na coincidence ya birthday ya lulu,kuna kitu hapa.inawezakana waligombana na mkewe baada ya mke kugunduwa kitu lulu atafanyiwa kwenye birthday.

Real n ajali tu kma ajali zingine cku hiyo alikua hom wala hukua n plan ya kutoka ajali kokote hata angekua wapi kifo kingempata tu.leo tulikua kwake washkaji kma 30 tumekuja ucku sasa nlikua n mabest wamasai full vituko hawajiamini wakiwa wamevaa suruali full kujiangalia mda wote
 

hee kumbe bday ya mdogo wake lulu allifanya kanumba day?!!
this girl si au ndo mashart aliyopewa na marehemu ili amsaidie kimaisha asijishughulishe na kanumba?
km ndivyo alikosea sana lulu
na siku zotd malipo ni duniani hapa hapa..
mama kanumba lazima ashangilie maana kipindi kile kumbe alikua anabembeleza kwa yule mama wa watu amsamehe bass
mama akaingia kingi lulu kajifanya mjanja
let the Karma ifanye kazi yake kwanza
 
sasa kWa nini Secky alikuwa anamcheat namna ile?mpaka na kina masongange.msomi Engneer mzima anatoka na lulu,husna.Kweli kamuaibisha sana mke wake.mke wake anaekaa kwenye vikao na kina mkangala waziri wa habari.mme anamreduce to zero namna ile?

Victorie kila mtu atasema lake ila marehemu kafa n majibu yote ila hakuna mtu ambae hachepuki huyo hana hela au anamarejesho y bank full stress.maisha y sasa uhuni umeshika kasi kuanzia kwa wababa,wamama,wachungaji,vibinti ndio balaa.havitaki kufanya kazi wao ni kuvizia tu yani mimi kuna bank 2 hpa twn ningetaka ningetembea n bank yote hawana break wakikuona umekuja n minoti macho n roho zinataka kupaa.hawajui kma c zako umetumwa au umeuza mawe y mtu unabank hela yake wao full kukusalimia ***** zao
 
ila ilikuaje?funguka mkuu

Sina cha kufunguka. Hisia zangu tu. Huyo mkewe alikua anatafuta fursa ampoteze huyo MBWA!!

Na kaipata haswaa. Kwa historia ya Lulu, angekua kichaa asingechukua hatua kustopisha aibu anayoletewa.

Istoshe, mali imeachwa kibao na mazagazaga benki ambayo 24/7 anasema si ya kitoto!

So hakukua na haja huyo mama avumilie hilo ling'ombe. Her silence (plus 'ulokole') has paid her volumes. Lulu ataendelea kutupiwa lawama until forensic ya hiyo 'ajali' ifanyike. Eti meza ya kioo.....

I beg to differ guys...........!!
 

Mkuu kuna kioo kilimtoboa shingoni kwa nyuma kwenye mshipa ndio blinding ikawa kubwa ila ukiwa na imani zilee unaweza amini.bt ni ajali kma ajali zingine mama alinde mali tu mana mabazazi yameshajua ana hela yataruka nae yammalize.istoshe cheating imekua ki2 cha kawaida kwasasa c wamama,wababa,vijana wote full burudani.

Hivi nani hataki kukaa nyumba nzuri kudrive gari nzuri mpka wake za watu wanahongwa magari.kuchepuka hakujaanza leo ila hii ya lulu imechangiwa n mitandao n ulimbukeni wa hivi vinuka mkojo tu.angekua anadate mtu wa 35yrz usingeona huo upuuzi.kuna mdada kadate nae mda n msomi tulikua tunajua watu w karibu n ndio amefaidika n nyumba
 
Na hapo ndo penye utata. Naamini haikua ajali. Na si uchawi. Nahisi ni pre meditated ajali.... forensic na upelelezi wa kina vitaonyesha ukweli.......

Cjui kwakweli mana alikua hom n watoto n yeye ndio kapiga cmu kwa uncle wke aje amchukue kumpeleka hosp mana anakaa karibu tu
 
Na hapo ndo penye utata. Naamini haikua ajali. Na si uchawi. Nahisi ni pre meditated ajali.... forensic na upelelezi wa kina vitaonyesha ukweli.......
mimi ndo maana niliuliza mke wake alikuwepo nyumbani?maana kumbuka ile siku ilikuwa birthday ya lulu,lazima itakuwa aligombana na mkewe,ngoja tusubiri zaidi,itajulikana tu
 
Cjui kwakweli mana alikua hom n watoto n yeye ndio kapiga cmu kwa uncle wke aje amchukue kumpeleka hosp mana anakaa karibu tu

Of coz litaishia kuwa fumbo maana wa kudai upelelezi wa kina ni huyo mkewe...... na who knows....
 
mimi ndo maana niliuliza mke wake alikuwepo nyumbani?maana kumbuka ile siku ilikuwa birthday ya lulu,lazima itakuwa aligombana na mkewe,ngoja tusubiri zaidi,itajulikana tu

Inanipa wasiwasi zaidi. Natamani kujua historia ya mkewe alikosoma, alipokulia, n.k. kuna kitu hakikai sawa. She looks n poses 'too' innocent.........
 
Huu msiba unatia simanzi sana marehemu kaumia sehemu ndogo sana ila madaktari wameshindwa fanya chochote cz hatuna vifaa vya kisasa hosp zetu,so sad amekufa huku anajiona mana ameongezewa damu mara 2 ila haikusaidia kitu

duh sad, labda alianza kuvuja damu mahala MRI au ct scan zingesaidia labda kujua tatizo.

Mungu amempenda zaidi, mie siwajui ila tendo la kimada kuongelewa kama ndio alikuwa mke kimenisikitisha sana. wanadi kapewa gaei jana, kama kwel natumaini litachukuliwa likauzwe pesa hizo pia wawekewe watoto wasome vizuri.

Ni kweli amemtesa na aliwasahau familia yake wakaishi kama hawana kitu, na watoto kuumizwa tu sababu ya yeyee kuwa analala nje?
 
Na hapo ndo penye utata. Naamini haikua ajali. Na si uchawi. Nahisi ni pre meditated ajali.... forensic na upelelezi wa kina vitaonyesha ukweli.......

ningependa kujua ni nini kimekufanya useme haikuwa ajali? ma ilipangwa? naona labda mmesha vizungumzia tukio lilikuwaje...vi points please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…