Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

anzia hapa,nasikia mke wake ni mchaga

Best kweli itakua mnahukumu 2 seki kafariki kwa ajali tatizo ni kua aghakan walishindwa msaidia mara hawana utaalamu w kumfanyia operation hiyo n kuunga huo mshipa nyuma y shingo.hope umenielewa cku yke ilifika 2
 
Inanipa wasiwasi zaidi. Natamani kujua historia ya mkewe alikosoma, alipokulia, n.k. kuna kitu hakikai sawa. She looks n poses 'too' innocent.........

ht km kamuua mi sijali .
maana mbaba mshenzi sana huyu
anahonga hadi vogue mxiuuuuuu
wanaume nyie mnatukwaza sana na mnatuumiza sana

siongei mengu but i know what we ar going through hasa ukiolewa na hawa wenye vijithumni ht ile ya kubadilisha mboga

yaani baas tu siongei mengi ila mnakwaza sana wake zenu
 
Ok, hay yashapita japo wote tutakufa.But tujiulize who is Next after Secky?
 
ht km kamuua mi sijali .

maana mbaba mshenzi sana huyu

anahonga hadi vogue mxiuuuuuu

wanaume nyie mnatukwaza sana na mnatuumiza sana

siongei mengu but i know what we ar going through hasa ukiolewa na hawa wenye vijithumni ht ile ya kubadilisha mboga

yaani baas tu siongei mengi ila mnakwaza sana wake zenu

Pole sana geniveros. Maneno yako yanaonyesha kitu fulani. Lakini pia "furaha na amani yako usitegemee uvipate kupitia mtu mwingine" people tend to disappoint sana!!!
 
Last edited by a moderator:

Hata mi simlaumu..... makes sense kuua mpuuzi kama huyo. Wauliwe tu!!
 
Pole sana geniveros. Maneno yako yanaonyesha kitu fulani. Lakini pia "furaha na amani yako usitegemee uvipate kupitia mtu mwingine" people tend to disappoint sana!!!

thnx wanawake ndoani wanavumilia sana
kwetu wengi sana tumeolewa ila dah juzi dada angu kazimia for 5hours ndoa ya dec just imagine!!
the problem amekuta picha za uchi za mwanamke ametumiwa mumewe via whatsap

akaona haitoshi karusha zingine wako wote mchepuko na mume dah
presha juu kazimia yuko tmj my dear sister
nimeumia sana kaka,dada angu mwingine ndo mumewe katongozaa shemeji wotee...

na mengine mengi tu..!!!.
wanaume wana wazimu!!
 
Last edited by a moderator:
ht km kamuua mi sijali .
maana mbaba mshenzi sana huyu
anahonga hadi vogue mxiuuuuuu
wanaume nyie mnatukwaza sana na mnatuumiza sana

siongei mengu but i know what we ar going through hasa ukiolewa na hawa wenye vijithumni ht ile ya kubadilisha mboga

yaani baas tu siongei mengi ila mnakwaza sana wake zenu
Huyo alikuwa kakamatwa na lulu na michepuko mingine balaa,alikuwa sio wa kubadilika leo ndo kwanza alikuwa na 35yrs,sasa mka akafike 60yrs,mama wa watu angekufa kwa stress,hata kama kamtanguliza poa tu,mtu anaekusumbua a some times ni bora kumeliminate tu,cha muhimu hakikisha hakuna ushahidi wowote ili usiishie jela.Vogue parefu,shule anayosoma mdogo wa lulu ni ile most expensive kule mbezi beach,lulu alikuwa anaenda kuwa mke ,b
 
Cheka tu usiwaze...... na usivumilie upuuzi baadae usije kukuletea balaa!! Akileta za kuleta mpoteze kimya kimya....... zibaki stori na sintofahamu.....

hahahaaaaa
madaktari wanaprove ni natural death
kwisha kaziii yake!!

hhahahaaaaahhaaa
 
Cheka tu usiwaze...... na usivumilie upuuzi baadae usije kukuletea balaa!! Akileta za kuleta mpoteze kimya kimya....... zibaki stori na sintofahamu.....
Halafu huko mbeleni labda lulu ndo angemuuwa huyu mama,ili yeye lulu awe mke halali.Maana nasikia mke wa marehemu nae alikuwa anaugua ugua tu.
 
thnx wanawake ndoani wanavumilia sana
....

na mengine mengi tu..!!!.
wanaume wana wazimu!!

Kweli wanaume wana wazimu ila wanawake mmetuzidi.

Shangaa huyo dada yako atarudi kwa 'mumewe' na kumsamehe. Na huyo mumewe hataacha. Atafanya siri zaidi........ hapo yupi wazimu?

Mwambie dadaako akirecover alipize kisasi kwa kiasi kikubwa hasa...... amfanyie unyama wa hali ya juu ajutie ujinga wake. Asipokoma, amseki........
 
Kuna hospitali inaitwa AMI ipo masaki ni the best madaktari wengi ni wa south africa angepelekwa huko wangeweza kuokoa maisha yake sema ndiyo hivyo siku yake ilishafika.
Best kweli itakua mnahukumu 2 seki kafariki kwa ajali tatizo ni kua aghakan walishindwa msaidia mara hawana utaalamu w kumfanyia operation hiyo n kuunga huo mshipa nyuma y shingo.hope umenielewa cku yke ilifika 2
 
Huyo alikuwa kakamatwa na lulu na michepuko mingine balaa,alikuwa sio wa kubadilika leo ndo kwanza alikuwa na 35yrs,sasa mka akafike 60yrs,mama wa watu angekufa kwa stress,hata kama kamtanguliza poa tu,mtu anaekusumbua a some times ni bora kumeliminate tu,cha muhimu hakikisha hakuna ushahidi wowote ili usiishie jela.Vogue parefu,shule anayosoma mdogo wa lulu ni ile most expensive kule mbezi beach,lulu alikuwa anaenda kuwa mke ,b

hhahahaaahaaaaa
hhaaahaaa eti "ht km kamueliminate poa tuu"
daah watu wamepinda sana na wanaume ndo wanatupindisha
 
Back
Top Bottom