Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Halafu huko mbeleni labda lulu ndo angemuuwa huyu mama,ili yeye lulu awe mke halali.Maana nasikia mke wa marehemu nae alikuwa anaugua ugua tu.

Haitakiwi kulea kidonda kabisa....... tibu kungali mapema.......
 

wazimu wa mapenzi!
na tunawazimu haswaa maana mtu ana waza mengi kwenye kuachika

na kuhusu my sisy sio eti atarudi hv nnavyokwambia mumewe anaenda hosp. kumtazama
suala la kutengana wala halipo na silioni kwa kweli

na hyo "mme wangu mme wangu" mi sisemi

wanawake sie jamani ndo victims sana kwenye haya mambo
 
Ila ndugu wanabaki na gubu la ajabu coz roho zinawaambia kabisa kapotezwa...... mali ushazikaba zamaaaani....

Imagine 24/7 anasema mke alikua anakusanya kodi zote. Very clever of her.......


watajua wenyewe hao ndg wa mme
mi nshamaliza yangu na mali kaacha
mmeshenzi tu hv hv!!
 
Tunasubiri atakayefata nyayo za huyo seki😕 Asyejipenda.. Mi naona huyu lulu atembee na wazee.. Ambao.wameishi mda mrefu kuliko kuondoka na.nguvu kaz ahahahah
 

Hawajiamini kivipi hao washkaji zako embu fafanua mkuu tweenty4seven
 
Last edited by a moderator:


Ukiona mtu yupo 35yrs lakini bado hana utulivu, jua una furushi la misumari kichwani for the rest of ya life.
 
...
suala la kutengana wala halipo na silioni kwa kweli

na hyo "mme wangu mme wangu" mi sisemi

wanawake sie jamani ndo victims sana kwenye haya mambo

Hapo ndo huwa sielewi wanawake wetu tz. Wepesi mno 'kusamehe'....... Yani ni hadi yamkute 'yasiyotibika' ndo aanze kuomba hisani za jamii......

BUT she may be smarter coz ana nafasi ya kulipa kisasi heavy. Ajifanye kasahau kabisa jamaa arelax.......... then anafanya yake chap..........

Msikubali kugeuzwa watumwa kwenye ndoa kamwe........ it has to be 50 50 or else........
 
Kuna baadhi ya wanaume heri usimiliki bastola....



Maana wanaudhi unawezq mrestisha in pisi buuure akakufanya uhamie kwenye jengo la serikali
 
hahahaaaa karibu sana jijini best
ningekua sina kiapo cha baba askofu leo ningekutafuta nami nimrushe roho@Dinazarde@nifah na@Ms lincoln

Hahahaaa,ndio basi tena mama palilia ndoa yako mwaya.Japo mijianaume yenyewe ndio hii inayotutia aibu kama hizi.
 


hahahaaa
yani wanawake%kubwa walimu wetu ni vipofu
huo ndo ukweli
tukipenda tunapenda kweli...!!
wachache kweli wanaweza kufanya hvyo
wengi hatuwezi na wanaoweza aisee ni shiiidaahhh
 
Kuna baadhi ya wanaume heri usimiliki bastola....




Maana wanaudhi unawezq mrestisha in pisi buuure akakufanya uhamie kwenye jengo la serikali

hhhahhaaaa eti uhamie jengo la serikali
kweli kabisa ht mi staki kumiliki cha moto ht dkk zero


maana dah!!hapana kwa kweli

mi nimemuambia sisy hizo picha ungenrushia nisambaze kwenye magroup ya whasap yoooteee

shenzzzyyy zake
 
Cheka tu usiwaze...... na usivumilie upuuzi baadae usije kukuletea balaa!! Akileta za kuleta mpoteze kimya kimya....... zibaki stori na sintofahamu.....

Hii njia sio ngeni kwa majirani zetu wazambia.
 
haya tujipoze machungu kwanza kwakupitia kwenye account ya j n mengi,tukasafishe macho!hehee watu na ndoa zao za halali
 
Jamani mliopo msibani ntuwekee updates za huko.
 
IG naona le tamkoz anatupia tu selfie za msubani na mambebez wa bongo movies!
 
Wako msibani halafu full mapichaz yenye full tabasam uchungu hakuna ni show off tu
 
hahahaaa
yani wanawake%kubwa walimu wetu ni vipofu
huo ndo ukweli
tukipenda tunapenda kweli...!!
wachache kweli wanaweza kufanya hvyo
wengi hatuwezi na wanaoweza aisee ni shiiidaahhh

Poor souls.... but ndo raha ya dunia. Wote tungekua makatili ingekua msala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…