Nima_
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 243
- 222
Wala siwafahamu. Hisia zangu tu kwa niliyoyasoma na kuona pics za huyo mkewe.
Nimehisi, kaamua kumshkisha adabu huyo seki...... kwa aibu anayomletea.
Kwanini usifikiri labda ni utitiri wa vimada vyake wamegang against Lulu ili wakose wote? Maana they have nothing to loose. Huyu mama has the most to loose, baba wa watoto wake. Just thinking....