Haaaaa jaman tuko msibani.. kwenye majonzi
Umenichekeaha
free mason death hizo
Hahahaaa! Ujue hadi natamani nimtafute lakini aibu ndugu yangu!
Naanzaje? Eti "shemeji wewe si umewahi kutoka na lulu? Vipi kule.... kuna nywele?"
Uwiiii,siwezi kabisa.
Hhhhhhaaaaa looooo
Nafikiri hii imenifanya nicheke sana siku ya leo, na ingekua ni gari ingefika kipindi mileage haisomi tena. Inadisplay ERROR
R.I.P Seki wa Arusha! Pole sana Lulu. Hivi una gundu gani we mtoto!
View attachment 244014
acha kuandika kama umechomekwa ndizi matakoni
Alikiba alipata bahati nasibu ee
Swali gumuuu hahhhaa
jamani hivi kuna ambao huwa hayaoti? lakini itakuwa wapo maana kuna wanaume hawana ndevu.
Hahahaaa! Ujue hadi natamani nimtafute lakini aibu ndugu yangu!
Naanzaje? Eti "shemeji wewe si umewahi kutoka na lulu? Vipi kule.... kuna nywele?"
Uwiiii,siwezi kabisa.
Tutaanza kuogopa meza za vioo kwenye nyumba zetu sasa...
alikua mtu wako wa karibu nini
Kwakweli sijui tusemee ni laana ya Kanumba au ni kitu gani hadi namuonea huruma.
Huyu naye kazidi usanii.Aliwahi kujidai kaokoka alivyotoka jela sijui yameishia wapi!
Kumbe umbeya huwa na limitation eeh.. :smile-big:
Alikua kwake si kwa mchepuko.hpo anaishi n mkewe n watoto ndio hom kwake
Weeee mziki wa kuokoka atauweza yule!!!kuokoka si makalio kusema kila mtu anayo...alikuwa anatafuta kick ya kurudia uraiani...
Kuna juhudi kubwa mno zinafanywa na wana bongo movie kuzuia kuenea kwa hii issue hasa kwa sbb inahusiana na mwenzao lkn hapa kwa GT naona wame fail, uzi upo speed ya hatari!