Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

yaani baada ya kulia msiba ulokupata unaanza kulia kwa hasira na wivu wa kusalitiwa kwa msiba kama huu kwa huyo mama

Yaani hata kama ningekua mimi nilifikiria zile show off za Lulu insta, jumba na magari vyote kanunua mume wangu!
Uwiiiiii,ningezimia kwa wivu!
 
Chonde chonde jamani mtamfanya huyu mtoto wa watu aanze kukimbiwa na wanaume, acheni mzaha bana
 
Kwani alichosema uongo?

unafki ni kutoa habari ya mtu mungine bila ridhaa yake iwe ni uongo au ukweli, kuna baadhi ya mambo mengi sana watu wanafanya kwa faragha sasa we kwa kukosa future ya maisha yako bac unaamua kuongelea mambo ya watu, sasa kma we unaona mleta mada ajakosea nawe toa siri zako zote za maisha yako hapa janvini
 
Mimi lulu nikimwonaga in person mwili huwa unasisimka kabisa kama nimeona jini. Nakaogopa sana kale katoto. Sana. Kuna kitu pale.
Halafu hashtushwi na kitu. Katakuja kaendeleze uchangudoa vile vile.
 
Walishaachana tokea 2012.Angekua wa kufa tungeshamzika.
Kwani unataka kusema Lulu amewahi kudate na hawa watatu waliokufa?List ni ndefu basi tu bahati zao mbaya!

Du hapo hakijafika hata 30s hadi kifike 40s si itakuwa list ya kusafirishwa kwa mabehewa kadhaa ya trein
 
Kama ni kweli basi huyu binti atakuwa hana na hajawahi kuota mavyuzi (hii ni kwa mujibu wa taarifa za kimila)

sasa lulu si wanasema mjamzito, masikini ashakuwa mjane kwa mara ya pili, gundu hilo. atajibebaje sana na nyumba aliyompangia si ndio atafukuzwa?

nadhani itakuwa Mara ya tatu!

huyu dogo atakua hana nywele hata za kichwani aiseee
anaonekana mtam

how? wakwanza kaumba ambaye kesi haijaisha, wa pili huyo mfanyabiashara aliyekuwa amempangishia nyumba, watatu nani?

KANUMBA
KOMBA
SEKI-MBA wewe Luluuuu

Pole yako... mpenzi wa tatu anafariki... na leo alikua kaandaa bonge la party siku ya birthday yake.. unapanga hili mungu nae anapanga jingine

(1) Kanumba = RIP (2) Captain Komba = RIP (3) Seky = RIP (4) ????!!!! =RIP

Hapo kwenye red =Mr Wonderful
Ngoja kwanza nikatafute kazi GEITA GOLD MINE!!!!

Aise!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! Sijui nitatumia trick gani hadi niupate ukweli.
Ninavyopenda umbea hapa nateseka kwelikweli.

hahaha okoa maisha ya nduguyo..

Jifanye kama umepanic hivi alafu nenda straight to his face..

Mwambie mpwa chonde chonde kama hukuyakuta tufanye turudi kijijini kwa bibi kabla hali haijawa mbaya..
 
Du hapo hakijafika hata 30s hadi kifike 40s si itakuwa list ya kusafirishwa kwa mabehewa kadhaa ya trein

Kwakweli sijui tusemee ni laana ya Kanumba au ni kitu gani hadi namuonea huruma.
Huyu naye kazidi usanii.Aliwahi kujidai kaokoka alivyotoka jela sijui yameishia wapi!
 
Back
Top Bottom