cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahahaaa! Mimi nawasaidia wanawake wengine na kutoa tahadhari kwa yule niliyemkabidhi moyo.
Thou namkubali na kumuamini sana lakini hili jambo sio la kufumbia macho hasa mwanaume akiwa na visenti ndio mnatufanya tusilale kwa amani.
Ushauri muhimu bora upate hela utulie sio kukitombesha at the end of the day badala ya starehe na ku enjoy jasho lako unaangalia kabla ya siku zako. Kula life si lazima mtu kuwa mfuska wa kubadilisha wanawake to me wanaume ka Hao malimbukeni watakua wanaacha wajane kila siku.

