TANZIA: Mlinda mlango wa Kagera Sugar, David Burhan afariki dunia

TANZIA: Mlinda mlango wa Kagera Sugar, David Burhan afariki dunia

Fanya yako. ..yangu hayakuhusu kabisa kabisa. .pita nenda ndugu yangu. ..asubuhi njema. ..
Mkuu ISIS, mbona povu hadi huku kwenye mitandao! Tungekuwa tunaongea face to face si ungenikata kichwa?
 
Mkuu ISIS, mbona povu hadi huku kwenye mitandao! Tungekuwa tunaongea face to face si ungenikata kichwa?
Sasa nimekwambia ukweli shika yako. .
Hapo nimekosea wapi? Na nimekutakia na siku njema. .sasa hilo povu unalo sema liko wapi? ... Mimi ni Godess ISIS siyo hao unafikiri wewe. ..nakutakia siku njema. .
81dd135facac6f6ac2d0fdffe4b582aa.jpg
 
Poleni sana wafiwa na familia yote ya wanamichezo.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana na ibarikiwe, amina.
 
Apumzike kwa Amani Golikipa wetu wa zamani wa shule ya Msingi Wilolesi Iringa mjini.....David Buruhan Abdallah.....R.I.P Classmate...Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihidimiwe.....
 
R.I.P
Daah halafu TFF hawaoni haja ya mechi ya Kagera Sugar Vs Mtibwa kusogeza mbele kweli eti kwa kuwa tu Mtibwa wapo Kagera tayari. najaribu kuwaza kama ingekuwa mchezaji wa Simba au Yanga ndie amefariki wangecheza..?
 
R.I.P Kaseja ndo kashampiga misumari nini? 'Ni mtazamo tu masera msijenge chuki'
 
R.I.P, Kaseja ndo kashampiga misumari nini? 'Ni mtazamo tu masera msijenge chuki'
 
Back
Top Bottom