Sasa nimekwambia ukweli shika yako. .
Hapo nimekosea wapi? Na nimekutakia na siku njema. .sasa hilo povu unalo sema liko wapi? ... Mimi ni Godess ISIS siyo hao unafikiri wewe. ..nakutakia siku njema. .
Apumzike kwa Amani Golikipa wetu wa zamani wa shule ya Msingi Wilolesi Iringa mjini.....David Buruhan Abdallah.....R.I.P Classmate...Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihidimiwe.....
R.I.P
Daah halafu TFF hawaoni haja ya mechi ya Kagera Sugar Vs Mtibwa kusogeza mbele kweli eti kwa kuwa tu Mtibwa wapo Kagera tayari. najaribu kuwaza kama ingekuwa mchezaji wa Simba au Yanga ndie amefariki wangecheza..?