Jose wa isajilo
Member
- Aug 5, 2015
- 6
- 7
Hata kama ni utani hakuna utani ktk suala la uhai. Huyo Kaseja ndio kawa Israel? Nafasi ya muumba unaiweka wapi?R.I.P, Kaseja ndo kashampiga misumari nini? 'Ni mtazamo tu masera msijenge chuki'
Usijifanye mjuaji saaana, aliyeandika alikuwa anajua,Ni David, sio Daudi
Mwenye jina alikuwa anaitwa David, wala hakutaka jina lake litafsiriwe. Amelitumia muda wote katika mazingira ya kiswahili na kiingereza, lakini hajawahi kutafsiriUsijifanye mjuaji saaana, aliyeandika alikuwa anajua,
Daudi na David ni majina yanayofanana sema David ni kizungu wakati Daudi ni kibantu chetu/kiswahili