TANZIA: Mmiliki wa timu ya Leicester Vichai Srivaddhanaprabha, afariki dunia baada ya helicopter yake kuanguka nje ya uwanja wa Leicester

TANZIA: Mmiliki wa timu ya Leicester Vichai Srivaddhanaprabha, afariki dunia baada ya helicopter yake kuanguka nje ya uwanja wa Leicester

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii imetokea kwenye game kati ya Wenyeji Leicester dhidi ya wageni Westham United ambayo imemalizika kwa sare ya goli 1- 1

Taarifa za awali zinaonyesha kwamba Mh Mwenyekiti hakuwemo ndani ya helikopta hiyo wakati wa ajali , Police wanachunguza mkasa huo

UPDATES

Klabu ya Leicester City imethibitisha kuwa Mwenyekiti na Mmiliki wake, Vichai Srivaddhanaprabha ni miongoni mwa watu watano waliofariki kufuatia kuanguka kwa helikopta usiku wa Jumamosi Oktoba 27

Mfanyabiashara huyo raia wa Thailand mwenye miaka 60 alikuwa kwenye helikopta yake iliyokosa uelekeo na kuanguka kwenye maegesho ya magari nje ya uwanja wa Leicester City, King Power

Polisi inasema watu wengine wanne waliofariki wanaaminika kuwa Wawili ni miongoni mwa wafanyakazi wa Srivaddhanaprabha, Nursara Suknamai na Kaveporn Punpare, Rubani Eric Swaffer na abiria Izabela Roza Lechowicz

Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika tukio hilo lililotokea muda mfupi baada ya mechi ya Leicester na West Ham kumalizika

Srivaddhanaprabha aliyekuwa akimiliki Kampuni ya King Power Duty Free, aliinunua klabu hiyo Agosti 2010 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti kwenye kipindi cha chini ya miezi sita baadae

Chini ya uongozi wake, Leicester ilipanda Ligi na kishiriki Ligi Kuu mwaka 2014 na kufanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 2015/16
 
Ingawa wanaficha hadi sasa, update zinasema mmiliki wa team ya Leicester City FC alikuwepo kwenye helicopter yake iliyoanguka mita chache toka uwanjani baada ya mechi ya Leicester na West Ham leo.

Alikuwa akielekea London na watu wengine 7
 
kuna watu walishwahi ku complain kwanini apewe kibali cha ku take off na ku land karibu na makazi ya watu kama ujuavyo nyumba uingereza zimebaanana karibu na stadiums sababu huwa anawasili na kuondoka nayo kwenye mechi
 
Kwa nini wanaficha?
Hawajasema kama kuna majeruhi au nini.
 
Leicester City owner's helicopter crashes leaving stadium


1540680420724.jpeg


Kama kuna majeruhi wachinje kaka kuku
 
inaonekana matokeo ya draw leo hayakumfurahisha rubani,
Pole sana kwa familia ya huyo boss
 
inaonekana matokeo ya draw leo hayakumfurahisha rubani,
Pole sana kwa familia ya huyo boss
ah wapi kwanza walisawazisha kwa hiyo walifurahi,mambo ya ASIAN mafia hayo,ma beef,rotor itakuwa ilichezewa
 
...Wamesema hakuwepo kwenye helicopter..
....
BeIN SPORTS' Ben Jacobs has spoken to the club and provided an update via Twitter.

‏"Spoken to King Power, who will release a statement tomorrow," he said. "LCFC owner Vichai Srivaddhanaprabha was on board the eight-seater helicopter to London.

Source: Sports Bible
 
SHIDA ZENYEWE NDO HIZI SASA,HAWA MATAAJIRI NAO MAGUMASHI SANA

City
Leicester’s owner, King Power, accused of £327m corruption in Thailand
• Thai government allegedly short-changed over duty free takings at airport
• Leicester vice-chairman reported to have denied any wrongdoing by company
David Conn, and Oliver Holmes and Phakarat Ryn Jirenuwat in Bangkok
Wed 12 Jul 2017 13.41 BSTLast modified on Mon 27 Nov 2017 04.19 GMT


King Power bought Leicester City in 2009 and funded the club’s rise to become Premier League champions. Photograph: Andrew Boyers/Reuters

The company that owns Leicester City and funded the club’s rise to become 2016 Premier League champions has been accused of multimillion-pound corruption in the operation of its business in Thailand. King Power, owned and run by the Leicester chairman, Vichai Srivaddhanaprabha, and his son Aiyawatt, is alleged to have corruptly short-changed the Thai government of its agreed share from the company’s lucrative duty free franchise at Bangkok’s Suvarnabhumi airport.
King Power International, which owns Leicester, is accused of criminally failing to pay the Thai state 14bn baht (£327m) from the operation of the airport franchise, whose original grant in 2006 required 15% of the income to be paid to the government. The lawsuit – a copy of which was seen by the Guardian – was filed by Charnchai Issarasenarak, deputy chairman of a government anti-corruption subcommittee. He alleges that King Power colluded with airport employees to pay the government only a 3% slice of the duty free takings.
 
Ajali ya helicopter iliyotokea SAA 1 baada ya kumalizka pambano LA Leicester vs West ham ilitokea ajali mbaya ya ndege na mmiliki akihofiwa kufariki. Muda mchache uliopita club ya Leicester city imethibitisha vifo vya watu watano akiwemo mmiliki wa club. Ikumbukwe kuwa tajiri huyo aliinunua club hiyo 2010 kwa thamani ya zaidi ya billioni 114 za kitanzania na kufanikiwa kuipandsha daraja 2014, ambapo 2016 ilichukua taji LA ligi kuu maarufu EPL
Screenshot_20181029-011212.jpg
 
Back
Top Bottom