TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia


Alikuwa mshauri bora, kiongozi imara mwenye maono makubwa ya maendeleo endelevu ya kanisa, mkoa wa Njombe na taifa. Pumzika Msaidizi wa Askofu KKKT - Dayosisi ya Kusini Dkt. Gabriel Nduye.


Your browser is not able to display this video.
 
Sad!!!
 
Kama kuna ukweli nimeshuhudia zaidi ya mara 3 asee
Upo sahihi mara ya kwanza niliona moja ilimuua mwanamuziki mmoja wa kizazi kipya mitaa ya Mbwewe mwaka 2005 kama sijakosea alikuwa anakwenda Arusha, nyingine ilimuua mtangazaji mmoja wa Channel 10 Msumbiji kama sijakosea nilisikia chanzo ni hicho cha kuchomoka kifaa fulani mbele huko chini
 
Upo sahihi mara ya kwanza niliona moja ilimuua mwanamuziki mmoja mitaa ya Mbwewe mwaka 2006, nyingine ilimuua mtangazaji mmoja wa Channel 10 Msumbiji kama sijakosea nilisikia chanzo ni hicho cha kuchomoka kifaa fulani mbele huko chini
Ok
 
Hilo Lorry liko kwenye site yake Pajero ndio imelfuata naona Marehemu alipoteza control.

Kwamujibu wa hiyo Video fupi.

RIP.
Huenda ilisababishwa na mechanical fault
 
Kuna majimbo ya makanisa yana umaskini sana dayosisi inampa mtumishi wake gari namba C ya mwanzoni huko kweli!!!! na juzi juzi hapa huyu Mkuu wa KKKT kapewa chuma mpyaaa.
Ile chuma kapewa na network ya waumini fulan hivi wenye hela (akina mwigulu na wenzake) hakupewa na kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…