Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?AI ai mmmmh, aise, habari ngumu hii.
Mkkt huyoKwanini?
Kwa njombe awe na moyo mwepesi ile Dayosisi ina vita namkaribisha KKAMMkkt huyo
Anajua jamaa wamemwondosha
Sidhani kama namba c ndio tatizoKuna majimbo ya makanisa yana umaskini sana dayosisi inampa mtumishi wake gari namba C ya mwanzoni huko kweli!!!! na juzi juzi hapa huyu Mkuu wa KKKT kapewa chuma mpyaaa.
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu.Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya Kiinjili iliyofanyika kijijini hapo.
Habari zaidi kuhusiana na tukio hilo zitafuata.
Poleni wanafamilia, washarika, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huo, pumzika kwa amani Baba Mchg. Dr. Gabriel Nduye
Ushakuwa Mungu sasa anajaji wenzio kama vile wewe hapo ulipo ni msafi.Huyu Askofu amekufa kwa namna ya ajabu sana! Huyu alikuwa mtu wa Mungu au mtu wa dini? Hakuna mtu wa Mungu anayekufaga kwa hivi. Kwa kuztukiza? Nope!
Miongoni mwa viongozi waliopata kuwa asset kwa weledi, uelewa, utulivu na unyenyekevu kwa Dayosisi hiyo ni huyu Ndugu alifaa sana kuwa mrithi wa Fihavango mbele ya safari
Poleni sana familia,Ndugu,marafiki,majirani na washarika, Roho yake ipumzike kwa Amani Baba yetu wa Kiroho Dr.Gabriel NduyeTaarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari.
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya Kiinjili iliyofanyika kijijini hapo.
Habari zaidi kuhusiana na tukio hilo zitafuata.
Poleni wanafamilia, washarika, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huo, pumzika kwa amani Baba Mchg. Dr. Gabriel Nduye
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya Kiinjili iliyofanyika kijijini hapo.
🙏Without a doubt, Dr. Gabriel Nduye the greatest bishop we never had.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha yake na utumishi wake uliotukuka katika kanisa na nchi yetu.
Ni msomi ambaye daima hakuwa na makuu, ukikutana naye huwezi kukosa kitu cha kukusaidia na kukujenga katika maisha yako.