TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

Kuna majimbo ya makanisa yana umaskini sana dayosisi inampa mtumishi wake gari namba C ya mwanzoni huko kweli!!!! na juzi juzi hapa huyu Mkuu wa KKKT kapewa chuma mpyaaa.
Sidhani kama namba c ndio tatizo
 
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu.
 
Huyu Askofu amekufa kwa namna ya ajabu sana! Huyu alikuwa mtu wa Mungu au mtu wa dini? Hakuna mtu wa Mungu anayekufaga kwa hivi. Kwa kuztukiza? Nope!
 
Kweli ajali zinatumakiza Prado sio gari kbs zonachomoka tyres
 
Huyu Askofu amekufa kwa namna ya ajabu sana! Huyu alikuwa mtu wa Mungu au mtu wa dini? Hakuna mtu wa Mungu anayekufaga kwa hivi. Kwa kuztukiza? Nope!
Ushakuwa Mungu sasa anajaji wenzio kama vile wewe hapo ulipo ni msafi.

Pumbavu.
 
Miongoni mwa viongozi waliopata kuwa asset kwa weledi, uelewa, utulivu na unyenyekevu kwa Dayosisi hiyo ni huyu Ndugu alifaa sana kuwa mrithi wa Fihavango mbele ya safari

Without a doubt, Dr. Gabriel Nduye the greatest bishop we never had.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa maisha yake na utumishi wake uliotukuka katika kanisa na nchi yetu.

Ni msomi ambaye daima hakuwa na makuu, ukikutana naye huwezi kukosa kitu cha kukusaidia na kukujenga katika maisha yako.
 
Poleni sana wafiwa, pumzika kwa Amani Baba askofu Gabriel
 
Poleni sana familia,Ndugu,marafiki,majirani na washarika, Roho yake ipumzike kwa Amani Baba yetu wa Kiroho Dr.Gabriel Nduye
 
Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya Kiinjili iliyofanyika kijijini hapo.

Doh!

Ukitazama hiyo video ni kama hiyo Prado ilihama njia kuifuata Fuso...

Sijui sababu ni ile ile ya Prado hizi kukata ball joint!!
 
🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…