Asante!![emoji24] View attachment 753652
Kina aina nyingi za kumuenzi marehemu!wabongo wanafiki, badala mtoe pole mnaanza kuimba mashairi...eti ooh swaibaaa...kachaaaa...cheki wanapagwa. Hii nchi mi naona kila mtu huwa anavuta bangi sio bure
Kuna shida kwani, alikuwa mwimbaji tunamkumbuka kwa nyimbo/mashairi yakewabongo wanafiki, badala mtoe pole mnaanza kuimba mashairi...eti ooh swaibaaa...kachaaaa...cheki wanapagwa. Hii nchi mi naona kila mtu huwa anavuta bangi sio bure