Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Angekuwepo rafiki nisingewaza, Rafiki kipenzi ninayempenda....daah alivuma kipindi Fulani akapotea, RIP Swahiba. Sasa utaona coverage ya huyu msanii ambaye kuna kitu amefanya kwenye sanaa inavyokuwa ndogo, ila yule mwingine ambaye hajafanya cha maana zaidi ya kutuonesha msambwanda anapewa coverage ile mbaya
 
So sad .
RIP .. Ngoma zake nilizisikiliza sana japo sikuwahi kujua jina lake
 
Dah Jebby
Kipindi hicho niko chuo nafanya mtihani, mshkaji wangu akaandika "angekuepo rafiki nisingewaza" baada ya kuachwa peke yake chumba cha mtihani
Yote ya yote... Mungu amlaze panapomstahili
Tumetoka kwa udongo tutarudi kwa udongo
 
wabongo wanafiki, badala mtoe pole mnaanza kuimba mashairi...eti ooh swaibaaa...kachaaaa...cheki wanapagwa. Hii nchi mi naona kila mtu huwa anavuta bangi sio bure
Kina aina nyingi za kumuenzi marehemu!
 
Wimbo wake wa swahiba ni mkubwa sana na utaendelea kuishi muda mrefu sana. Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa. Hawa ndio wasanii wenye kipaji ambao hawajanufaika sana na kazi zao. RIP
 
Prayers and fond memories are what we have to remember our dearly departed. My most heartfelt condolences.
 
wabongo wanafiki, badala mtoe pole mnaanza kuimba mashairi...eti ooh swaibaaa...kachaaaa...cheki wanapagwa. Hii nchi mi naona kila mtu huwa anavuta bangi sio bure
Kuna shida kwani, alikuwa mwimbaji tunamkumbuka kwa nyimbo/mashairi yake
 
Back
Top Bottom