Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Mkuu hii dunia tunapita tu, usije ukajikuta we msafi sana wa kuziona dhambi za wengine ukashindwa kuziona zako. Huwezi jua huyo unayemuita Mtingisha Makalo dakika 1 kabla ya kifo chake aliongea nini na Mungu wake.Watu wako bize na msiba wa mtingisha makalio.. R.I.P swaibaa!
Ona sasa. Kwanini lakini?!!Sikuwahi mfahamu huyo , bongo napo wasanii wengi sana hata wengine hawapo kwenye game lakini niwasanii
Hahahaha mkuu utasubir sanaNi lini huyu nae atakufa??
Alipojiunga tmk alitoa wimbo mmoja ambao nao ulikuja kuwa maarufu, unaitwa Kastory amemshirikisha Zozo humo ndani.Marehemu ameacha orodha niliipenda sana kuliko ile swahiba.Kipindi kile alikuwa yupo TMK
Huu wimbo ulitungwa kwa ajili ya mtoto wa MengiMsanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.
Msanii Jebby atakumbukwa kwa wimbo wake wa 'Swahiba' aliomshirikisha Afande Sele. Wimbo huo umekuwa ukisikika kunapotokea msiba mkubwa na hata Masogange umauti ulipomkuta wimbo wa ''Swahiba'' umegongwa sana.
RIP Jebby.
Wimbo wa Swahiba
Huyu ni wakumchapa makofi tu....mbaff zake...[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ona sasa. Kwanini lakini?!!
Nani tena Mkuu..??Ni lini huyu nae atakufa??
Msanii MkuuNani tena Mkuu..??
Kila nafsi itaonja Mauti..Msanii Mkuu