Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Sikuwahi mfahamu huyo , bongo napo wasanii wengi sana hata wengine hawapo kwenye game lakini niwasanii
 
Umeondoka swahibaaa.


Aiseeee heri ya wafu wafao ktk kristo.........

Vijana viburi vya uzima visitupoteze ,,

Ivi mfano , siku unakufa ,unakufa umenyoa kiduku, umetoboa sikio, alafu kwabahati mbaya ulikufa kisa mnagombania demu ......... Duuuhhhhh hapo ni moto tu.a
 
Heaven itakuwa na full of surprise mara paaap Hitler ndio anagawa vinywaji heaven. Daaah!

Watu wanaweza kufa tena maana watu ni wabishi wanaweza kuhisi bado hawajafika kwa Mungu walieaminishwa ni mkali na mkoloni.

God is merciful!

Patakuwa hapatoshi!
 
Best song nyimbo niliyokua naikubali kinoma jamaa hakua na upepo ila nyimbo ni kubwa sana sana
R.i.p bro wasalimie john woker mr ebbo john mjema
Hawa wote ni malegend
 
Nyimbo yako ilikuwa kubwa, kuliko jina lako. R I P Jebby Gone too soon...
 
Marehemu ameacha orodha niliipenda sana kuliko ile swahiba.Kipindi kile alikuwa yupo TMK
Alipojiunga tmk alitoa wimbo mmoja ambao nao ulikuja kuwa maarufu, unaitwa Kastory amemshirikisha Zozo humo ndani.
Kwenye orodha alikuwa bado yupo Solo.
 
Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.

Msanii Jebby atakumbukwa kwa wimbo wake wa 'Swahiba' aliomshirikisha Afande Sele. Wimbo huo umekuwa ukisikika kunapotokea msiba mkubwa na hata Masogange umauti ulipomkuta wimbo wa ''Swahiba'' umegongwa sana.

RIP Jebby.

Wimbo wa Swahiba

Huu wimbo ulitungwa kwa ajili ya mtoto wa Mengi
 
Duh!! Ama kweli udongo unakula watu, who is next!? Yawezekana nikawa mimi,wewe ama yule, muhimu kujiandaa tu na safari hii isioepukika, tumche mungu, tufanye ibada, tupendane, tuwatendee wema wenzetu, tufanue ihsan kwa wazaz wetu wawili n.k...

Innaillah wainalillah rajuun.. Sote tutakufa[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Back
Top Bottom