Hivi huyu ndo alikuwa na undugu na Ditopile Mzuzuri?Kwa kweli ni huzuni moyoni kumpoteza baba yangu wa hiari mzee Mashaka, huyu mzee alikuwa na roho ya kipekee sana kila mtu alimpenda mazishi yatakuwepo ilala bungoni japokuwa kwake ni ubungo kibo[emoji22][emoji22][emoji22]..inauma sana mzee umefariki ghafla ingali bado wanao tulikuwa bado tunakutegemea
Poleni sana, Mungu asiwaache wala kuwapungukia kwa chochote ktk wakati huu mnaopitia...... RIP Mashaka, nakumbuka maigizo yako ukiwa ndani ya kaoleKwa kweli ni huzuni moyoni kumpoteza baba yangu wa hiari mzee Mashaka, huyu mzee alikuwa na roho ya kipekee sana kila mtu alimpenda mazishi yatakuwepo ilala bungoni japokuwa kwake ni ubungo kibo[emoji22][emoji22][emoji22]..inauma sana mzee umefariki ghafla ingali bado wanao tulikuwa bado tunakutegemea
Tunaomba clips zakeMiongoni mwa waigizaji wenye busara.
Niliposema mazishi yake yatakuwepo ilala bungoni nilimaanisha msiba utakuwepo hapo ilala bungoni nyumbani kwao na marehemu mashaka,sikumaanisha kwamba atazikiwa ilala bungoni,maeneo ya bungoni pale sidhani kama kuna makaburi ila mazishi ni Leo jumapili kuanzia SAA 7 nadhaniIlala bungoni makaburi yako wapi? Au umechanganya na mchikichikini
Sifahamu aisee ila ni mtu wa Morogoro huyu hajawai kunambia kama ana undugu na DitopileHivi huyu ndo alikuwa na undugu na Ditopile Mzuzuri?
Naona umekazana kumuita "Mzee Mashaka". Mashaka hakuwa mzee. Ni kijana aliyepata mvi mapema.Mzee mashaka ilikua Yale matangazo ya Azam aliyokuwa anayacheza marehemu mzee majuto ilikua acheze yeye na mkataba wa awali walishasaini na Azam sema mzee aliparalize siku chache mbeleni kabla hajaianza kazi hiyo na ndipo Majuto akapewa nafasi hiyo yeye...
Mazishi yamefanyika tabata kinyerezi kwakina ditopile.Niliposema mazishi yake yatakuwepo ilala bungoni nilimaanisha msiba utakuwepo hapo ilala bungoni nyumbani kwao na marehemu mashaka,sikumaanisha kwamba atazikiwa ilala bungoni,maeneo ya bungoni pale sidhani kama kuna makaburi ila mazishi ni Leo jumapili kuanzia SAA 7 nadhani
Long time!Nakumbuka sana igizo lao alilocheza kama mume anayesikiliza sana mama yake na dada zake mpaka akamuacha mke mwema akaoa mke machachari kabisa!!!
RIP Mashaka, hiyo ni njia yetu sote.
Stive yupi?Nani huyo anamtaja Stive kwenye huu uzi