Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee tusibishane namjua zaidi ya wewe umjuavyo katika runinga mzee wetu..Naona umekazana kumuita "Mzee Mashaka". Mashaka hakuwa mzee. Ni kijana aliyepata mvi mapema.
Yap ni kweli mzee ulikuwepo kwenye msiba nini?Mazishi yamefanyika tabata kinyerezi kwakina ditopile.
Mkuu, Mashaka ni baba wa kunizaa. Wewe una uhusiano gani naye, mpaka uanze kubishana na mimi?Mzee tusibishane namjua zaidi ya wewe umjuavyo katika runinga mzee wetu..View attachment 906115
Ni mdogo wake Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe Mzuzuri.Sifahamu aisee ila ni mtu wa Morogoro huyu hajawai kunambia kama ana undugu na Ditopile
Nilikuwepo mzee baba.Yap ni kweli mzee ulikuwepo kwenye msiba nini?
Nawajua watoto wake na mashaka wengi tu ila namjua zaidi Abdul,Mashaka alikuwa anaishi kibo karibu na kwa kina msuva,familia yake alikua anaishi na mke wake,mama yake mkwe ambaye ni mzee sana na huyu bibi mwanzo kabisa alifichwa taarifa za msiba za mzee Mashaka kutokana na hali yake ya ugonjwa na nyumba ya mzee mashaka marehemu kuna kigeti kidogo chekundu na ndani nyumba nzima kuna marumaru nyeupe,kuingia nyumbani kwake unaanza vyumba kwanza then sebule ipo mwisho ikiwa pamoja na meza ya kioo na mzee huyu alikuwa mlemavu wa mguu aliparalize ila mungu mkubwa alimponya hili ila alibaki na kilema cha mguu cha maisha...Mkuu, Mashaka ni baba wa kunizaa. Wewe unauhusiano gani naye, mpaka uanze kubiashana na mimi?
Peace alikwishafariki kitambo, zaidi ya miaka 15 iliyopita. Tabia naye alifariki wakati wa mabomu ya Gongo la Mboto...Sana, kuna dada mmoja aliitwa peace sijui yuko wapi, akina tabia. Wakati huo maigizo yakikuwa na mvuto kuliko bongo movie
Mdogo wake. Yeye mwenyewe ni Mzuzuri...Hivi huyu ndo alikuwa na undugu na Ditopile Mzuzuri?
zawadi alikuwa na mdomo hahahahaha alikuwa anamlaza jamaa nje mara atoke na mabwana hovyo yaani ni fujo wakat mwanzo anatafutwa na mama mashaka alikuwa mstaarabu alipo olewa sasa.Halafu zawadi na wenzie wakamchuna mpaka basi.
Akafulia na akaanza kulijua jiji.
hao wa juzi kuna swebe,jerry, kelvini, biko (iddi ligongo) kibakuli, nyamayao, zawadi, Kemmy, bi hindu, mashaka, kefa, ........Kaole nimewaona mkuu sindo akina ray, kanumba, mainda, Johari and the so on...
Dah kumbe sikuwa nafahamu, wapumzike kwa amani. Nakumbuka "kidedea"Peace alikwishafariki kitambo, zaidi ya miaka 15 iliyopita. Tabia naye alifariki wakati wa mabomu ya Gongo la Mboto...