Tanzia: Msanii Mashaka (Ramadhani Ditopile) wa Kaole Sanaa Group afariki dunia

RIP Mashaka

Moja ya waigizaji wazuri sana enzi hizo. Alikuwa anauvaa uhalisia haswa. Enzi hizo tasnia ya maigizo luningani ikiwa juu mno ITV.
 
Kwa kweli ni huzuni moyoni kumpoteza baba yangu wa hiari mzee Mashaka, huyu mzee alikuwa na roho ya kipekee sana kila mtu alimpenda mazishi yatakuwepo ilala bungoni japokuwa kwake ni ubungo kibo[emoji22][emoji22][emoji22]..inauma sana mzee umefariki ghafla ingali bado wanao tulikuwa bado tunakutegemea
Hivi huyu ndo alikuwa na undugu na Ditopile Mzuzuri?
 
Kwa kweli ni huzuni moyoni kumpoteza baba yangu wa hiari mzee Mashaka, huyu mzee alikuwa na roho ya kipekee sana kila mtu alimpenda mazishi yatakuwepo ilala bungoni japokuwa kwake ni ubungo kibo[emoji22][emoji22][emoji22]..inauma sana mzee umefariki ghafla ingali bado wanao tulikuwa bado tunakutegemea
Poleni sana, Mungu asiwaache wala kuwapungukia kwa chochote ktk wakati huu mnaopitia...... RIP Mashaka, nakumbuka maigizo yako ukiwa ndani ya kaole
 
Duh!!!, nmeona heading nkawaza, nkafungua uzi nkaona picha nkasikitika.

Hivi bado alikuwa anaigiza maana kitambo sijasikia habar zake.

Apumzike pema peponi.
 
Ilala bungoni makaburi yako wapi? Au umechanganya na mchikichikini
Niliposema mazishi yake yatakuwepo ilala bungoni nilimaanisha msiba utakuwepo hapo ilala bungoni nyumbani kwao na marehemu mashaka,sikumaanisha kwamba atazikiwa ilala bungoni,maeneo ya bungoni pale sidhani kama kuna makaburi ila mazishi ni Leo jumapili kuanzia SAA 7 nadhani
 
Mzee mashaka ilikua Yale matangazo ya Azam aliyokuwa anayacheza marehemu mzee majuto ilikua acheze yeye na mkataba wa awali walishasaini na Azam sema mzee aliparalize siku chache mbeleni kabla hajaianza kazi hiyo na ndipo Majuto akapewa nafasi hiyo yeye...
 
Naona umekazana kumuita "Mzee Mashaka". Mashaka hakuwa mzee. Ni kijana aliyepata mvi mapema.
 
Nimesikitika sana kuona wasanii wachache sana kwenye msiba wake kama muhogo mchungu na wengine wachache kama watatu hivi bili kumsahahu ridh moko
 
Niliposema mazishi yake yatakuwepo ilala bungoni nilimaanisha msiba utakuwepo hapo ilala bungoni nyumbani kwao na marehemu mashaka,sikumaanisha kwamba atazikiwa ilala bungoni,maeneo ya bungoni pale sidhani kama kuna makaburi ila mazishi ni Leo jumapili kuanzia SAA 7 nadhani
Mazishi yamefanyika tabata kinyerezi kwakina ditopile.
 
Back
Top Bottom